Salaam za Pongezi kwa Mama Prof. Anna Tibaijuka kutoka wa vijana wa Bukoba Mpya

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Tumepokea kwa furaha isiyo kifani taarifa ya ushindi wako wa Tuzo ya 'His Royal Highness Prince Khalifa bin Salman Al Khalifa Award for Sustainable Development'. Ushindi huu ni uthibitisho mwingine juu ya kutambulika kwa juhudi na kuthaminiwa kwa jitihada zako katika kuendeleza makazi.

Tunaona fahari kwa kazi kubwa uliyoifanya kuubadilisha Mtaa wa Kibera nchini Kenya na kwa hakika, halitafutika jina la Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka kwenye miradi mikubwa ya makazi na mazingira inayoendelea kutekelezwa katika nchi za maziwa makuu (Nile Basin Initiatives, Land Reform and Urban Planning, Lake Victoria Environmental Management Programme, n.k).

Toka uhuru, ukiachilia mradi wa SADELIN, Kagera haina kumbukumbu ya kuletewa mradi mkubwa kwa nguvu na jitihada za Serikali. Lakini upo ushahidi usiofutika juu ya jinsi ushawishi wako kwenye ashirika ya kimataifa kama Benki ya Dunia na UNDP ulivyoisaidia Kagera kufikiriwa pamoja na mikoa mingine na hatimaye kupata miradi ya maendeleo.

Nahau za mfumo‐dume husema ‘Omwatani Takweeta Mushaija’ na iko hivyo pia katika maandishi ya Vitabu vitakatifu kwamba ‘Nabii Hakubaliki Nyumbani Kwake na Kwa Watu Wake’ Tunasikitika kwamba haya yote yamekuwa kweli hata kwako pia. Kama tulivyoeleza katika kitubio chetu kwenye mkutano wa BUMUDECO, vijana wa Bukoba Mpya tunajutia zaidi kwamba nasi tulishiriki kukusurubisha pasipo kutafuta kuujua ukweli. Tulipelekwa na upepo wa matukio na tukajinyima nafasi ya kutathmini malengo ya matukio. Tunazidi kukuomba msamaha na kuwaombea wengine wote ambao ukweli haujafunuliwa kwao ikiwemo watakaotusi pongezi hizi. Tunakuahidi kuwa watakao baki katika fikra za zamani ni wale wasiokuwa wetu lakini sisi vijana wa Bukoba Mpya tutasimama daima na watu wetu ikiwemo wewe.

Pamoja na pongezi hizi za jumla, tunaomba mara urejeapo nchini na upatapo muda, ujumuike na uwakilishi wa Bukoba Mpya‐Tawi la Dar es Salaam kwa hafla fupi ya kukupongeza.

Imetolewa na
Happiness Essau
Katibu, Vijana wa Bukoba Mpya

Kwa Mawasiliano:
E‐mail: oaarip@gmail.com
Mob: 0713‐883‐020
 
Sema kutoka kwa UVCCM mkoa wa kagera.
 
Arudishe zile 1.6billion za escrow
 
Yeeeees, we pay homage to our people. Tz hatuna huu utamaduni lakini walau mmeweza kusema ukweli, hatuwezi kuishia kukashifiana tu kisa fulani ni chama fulani ...tunatambua mchango wake na kumuenzi daima.

Ni mtanzania mwenzetu, ni dada yetu na wengine ni mama yetu, tunampongeza sana
 
14470563_1195892603802270_6542236024677448048_n.jpg

Mama wa shoka, Mama wa Kimataifa.
 
hafanani na mboga za bilioni moja! Siwezi msifu kwa alofanya Moshi Ila namshangaa kwa alivyoshindwa kazi serikalini!!
 
Hongera sana prof.Tibaijuka,kwakweli hujawahi kutuangusha,ni vile tu genge na wahuni wakiongozwa na mkuu wao walikuchukia na kutaka kukubebesha mzigo husio kuwa wako.Sisi watanzania na vijana tunatambua sana mchango ulio nao ktk maendeleo endelevu kwa nchi yetu na bara zima.Husichoke wala kukata tamaa,kaza mwendo tunaona ,tunasikia mengi ila tuhakikishie zama za kupumbazwa na wahuni na kutoa kafara ili kulindana zimepitwa na wakati,vijana tunasikia mengi na tunachambua na mwisho kusimamia UKWELI.

HONGERA SANA SANA MAMA YETU,WALA HUSITISHWE NA KELELE ZA USHABIKI HUSIO NA MISINGI YA UKWELI,SISI VIJANA BAADA YA KUKUSIKILIZA KWA MUDA MREFU NA KUFUATILIA KWA UKARIBU TUMEKUELEWA NA TUKO NYUMA YAKO.

MWISHO NAZIDI KUKUPONGEZA KWA KUZIDI KUTULETEA HESHIMA KWA BARA LETU NA HASA TANZANIA KWANI TUKIRI KUWA TULIPATA PIA KUWA NA VIONGOZI WALIO PATA NAFASI KUBWA KAMA ZAKO HATA DUNIANI LAKINI HAWAKUWEZA KUJENGA HESHIMA YA NCHI YETU KAMA ILIVYO TOKEA KWAKO.

CHAPA MWENDO MAMA
 
hivi ni wapi kuna sustainable development? Kwa Tanzania! Anyways hongera mama.
 
Hi tiba bado ni prof tu.. Alishakuwa mpiga debe na mfurukutwa wa chama hata hiyo intelligence ya u prof siionagi kwa huyu maza, na hao waliompa hilo kombe la mbuzi
 
Back
Top Bottom