Salaam za Mwisho wa Mwaka

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia maandalizi Mema ya msimu wa mapumziko na sikukuuu za Mwisho wa Mwaka.

Muumba atujalie uzima daima, na tuwe waangalifu tunapokuwa barabarani na vyombo vyote tutumiavyo kwa usafiri. Sikukuu Njema

Stay Safe all the time, be blessed all the time.
 
Back
Top Bottom