Salaam wana JF

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Nimefuatilia jamii forum kwa kipindi cha miezi mitatu na nimevutiwa sana jinsi watu wanavyo wakilisha mada na kuzichanganua. Pia napenda ukweli na uwazi ulivyotawala humu jamvini. Ukichemsha unapewa papo hapo hapo. Asanteni na naomba mnikaribishe
 
lusufeli...una mpya zaidi ya kukaribishwa ..... wewe ni kuhani mkuu wa mashetani.... challenge and become a great thinker...okay
 
Japo mimi mwenyewe nina siku ya 4 tu leo nina furahia sana maisha ya hapa JF
 
duuuhhh hilo jina mkuu...............:A S 2152:
haya karibu sana lakini
 
Mh!napata kigugumizi kumkaribisha shetani ndani ya nyumba yetu takatifu!toka shetani kwa jina la yesu ushindwe na uregee!wewe ni muovu mkubwa,kazi yako ni kutesa wanadamu!katika jina la yesu nakuamuru toka,toka!ushindwe na uregee!!
 
Shetani......unatokea Tanga nini kwa kina Shemahonge na Makamba nini???

Jina lako limenitisha sana ila karibu JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom