BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Nimefuatilia jamii forum kwa kipindi cha miezi mitatu na nimevutiwa sana jinsi watu wanavyo wakilisha mada na kuzichanganua. Pia napenda ukweli na uwazi ulivyotawala humu jamvini. Ukichemsha unapewa papo hapo hapo. Asanteni na naomba mnikaribishe