Unahitaji kufahamu potentiality yako within your community, mfano ofisini! shuleni! nyumbani!
Veeery simple!
Angalia km mara nyingi unawaiwa kusalimiwa ama wewe ndio unawahi kusalimia! Kama wewe ndio wa kwanza kwanza kusalimia basi ujue wewe potentiality yako ni low rated, ila km ndio wa kwanza kwanza(kutanguliwa) kusalimiwa ujue kuwa potentiality yako kwa hao watu ni high rated!