Tokea lini Lissu ni mtakatifu?Hata Mzee Shomari hakubaliani na hili!
Umekula Chai Maharage Umeshiba Sasa Unaaanza kuagaiza Visiwezekanaa yani Nani anampigia Kura Kibaraka NI MAGUFULI TANO TENAWanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo inahubiriwa na Tundu Lissu ,ya kuwa Mashehe wote wakiislamu walioko magerezani bila ya hatia yeyote anahakikisha anawaachia huru, mara moja.
Ni neema ilioje kwa ambae si Muislamu kutoa kauli hiyo hadharani jambo ambalo Mashehe kanzu na vilemba wa BAKWATA wameshindwa hata angalau kuwataja, Kwa Muislamu na mpenda amani bora Lisu kuliko hawa mashehe ubwabwa wa Bakwata wanatutia aibu waislamu.
Kura za Ndio kwa Mtakatifu Tundu Lissu.
Wajulishe na waTanzania wapenda amani ujumbe huu kupitia JF unawafikia na kuamshana CCM itakakoelekea inanjinjiwa huko huko mara hii haelekei mtu kibla... kichinjio changu nimekificha ila kila siku nakitazama kama kipo, maana Chakubanga na Abushiri ni wachawi.
kweli Kibaraka ni Magufuli ,vipi dili ya dhahabu na baric nasikia sasa kampuni inapata asilimia semanini na Tanzania inapata ishirini tu,.Umekula Chai Maharage Umeshiba Sasa Unaaanza kuagaiza Visiwezekanaa yani Nani anampigia Kura Kibaraka NI MAGUFULI TANO TENA
Hahaha Tumewazoeza Tangu ezi za Lowasa Ushindi wenu Huwa Mtandaoni Hakuna Jipya LA kututisha Wan CCM sisi Time relax Tunasubili kuapishwaaakweli Kibaraka ni Magufuli ,vipi dili ya dhahabu na baric nasikia sasa kampuni inapata asilimia semanini na Tanzania inapata ishirini tu,.
Turudi kwenye kampeni.
Tatizo umedumazwa kimawazo miaka 54 ya kutawaliwa na chama kimoja sio masihara,mpaka sasa chama kimekuwa wanarithishana utafikili hii nchi CCM wameachiwa urithi.
Kwanza mpaka hapa tulipo kama huna habari CCM imeshaangukia pua,makonde anayopiga Tundu Lisu yamewavuruga CCM hawajuani nani yumo na nani hayuumo wamebaki kutishana.
Kushindwa ni mtihani unahitaji mwalimu wa saikolojia la si hivyo CCM mtaokota makaratasi majalalani.
Bila shaka mimi niko na wadau watano nina hakika Tundu Lissu ashapata kura tano kwa kupitia mimiMimi na familia yangu tutamchagua Lissu
Umenena vema mkubwaUngalikuwa tajiri usingekuwa unamlamba Tund Lissu Mata.ko yake kwa kuanzisha sredi za kijinga ati amefuta ccm sijui wapi ili akuonee huruma Ili akukumbuke akirudi ubeleji baada ya kushindwa katika sanduku la kura 28/10/2020. Unatamani uzamie ili uwe houseboy wake. Kijana hujui kuwa TL ni mbinafsi na hawezi kuku kumbuka. Umaskini mbaya jamani
Aaaah mnyikaMimi na familia yangu tutamchagua Lissu