Uchaguzi 2020 Salaam kwa Watanzania wote Kupitia JamiiForums - Tunaomba kura zenu za Ndio mumpe Tundu Lissu

mwambie mtakatifu Lissu uraisi wa Yanga atapata tu bila hata kampeni
 
Endeleeni Kujazana Upepo Na Id zenu Kumi kumi
Lisu atakuwa Rais wa Vibendera na si Watanzania Never
hiyo ndoto
 
Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?
Harusi ni sherehe ya kupongeza au upongezwaji wa watu wawili ambao tayari wamefunga pingu za maisha au wamekubali kuwa watu wamoja katika kunia mamoja na kushirikiana kwa pamoja katika raha na shida. Harusi ni shughuli ya umati wa watu wengi na hufanyika mahali pa wazi na hadhira,
Haikuwepo ilikuwepo?
 
Mm na wazazi wangu,mke wangu na familia yetu nzima kura zooote za ndio kwa LISSU
 
Kura ni siri,ila mimi nachojua najiandaa kumpigia kura raisi wa Jamhuri wa Tanzania ,tofauti na raisi wa mitandao.
 
Inategemea vigezo unavyotumia. Mtu aliyemiminiwa risasi zaidi ya 38, zikamchanachana 16, akawa mzima, ametembea Tz yote bila kushindwa, lakini ujumbe anaoleta ni ule wa haki na uhuru, huku akisema kweli tena kweli tupu, bila shaka Mungu yupo naye. Mungu alimrudisha kutoka shimo la mauti kwa kusudi maalum. Hata kama si mtakatifu kwa vigezo vya kilokole, anaweza kuwa mtakatifu kwa vigezo vya katoloki.
Hicho sio kigezo cha utakatifu kasome maandiko
 
Kuliko kumpigia kura Lissu, bora kutopiga kabisa. Watanzania, msipoteze nafasi hii muhimu kwa kumchagua mtu ambaye hata shinda. Magufuli, tano tena.
 
Kuliko kumpigia kura Lissu, bora kutopiga kabisa. Watanzania, msipoteze nafasi hii muhimu kwa kumchagua mtu ambaye hata shinda. Magufuli, tano tena.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni za CCM mlisema JK tano tena, Sasa JPM tano tena, mkapa tano tena,mwinyi tano tena.mmetufikisha wapi? CCM itakuwa KANU October 28. Trust me
 
Hakuna mbadala wa magufuli nchi za africa zinataman kuwa na rais kama yeye kura yangu ni kwa magufuli
 
Kura ni siri ya Mtu hazipigwi na Familia, Zinapigwa na Mtu mmoja mmoja. Kura yangu nitampa JPM, Wengine katika familia yangu nawaomba waangalie nani wanayemtaka wampe kura, japo nitafurahi wakimpa JPM Huyu ndio mbeba maono ya nchi.
Hii ndio demokrasia mkuu
 
Kura yangu Nina mpatia Tundu lisu 2015 imeniyesa vya kutosha sasa baaasi ni yeye 2020
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom