Salaam kwa watani Simba Sc kutoka kwa vijana wa Jangwani Yanga africa

Anyway yai moja limeharibika, hata hilo moja mtetea kataga latosha. Kaseja kashindwa kuonesha T-shirt yake. Sasa avulishwe kila mtu aone leo aliandikaje.
 
Kaka simba ameshapakatwa, na hizo epo zilikuwepo zinaning'inia tu, hazina sumu! Simba la kibisa hilo....!
 
Back
Top Bottom