Salaam kwa watani Simba Sc kutoka kwa vijana wa Jangwani Yanga africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salaam kwa watani Simba Sc kutoka kwa vijana wa Jangwani Yanga africa

Discussion in 'Jamii Photos' started by mluga, Jun 22, 2011.

 1. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani, mimi sina timu ila hii wameniomba vijana wa Jangwani Yanga Africa niilete hapa kama salaam kwa watani wao wa jadi, wajue nini kinakuja msimu huu.

  Wanasema Simba mpaka wampakateeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   

  Attached Files:

 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,147
  Trophy Points: 280
  Mitimu ya bongo bwana uozo mtupu, hizo salamu zenu pelekeni kwenye gemu za kimataifa. Simba mchumba tu Yanga nayo ni gelofrendi tu.
  Kila timu ya nje ikipangwa kundi moja na mitimu yetu inakuwa na uhakika wa point kutoka Tz.
  Tubadilike
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  No comments.
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Nimeamini kuwa kweli we ni Mlugaluga!
   
 5. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Hata Shetani huwa haendi kwa watu na kujitangaza kuwa yeye ni Shetani na kwamba kazi yake ni kudanganya! Kwa hili, japo umesema huna timu lakini wenye akili wamejua wewe ni timu gani.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  duh........! acha bangi
   
 7. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  simba na yanga ndo zinaharibu mpira wa bongo, upuuzi mtupu
   
 8. 0717436862

  0717436862 Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ujumla Tz soka halina mipango soka letu bora liende2! Cc ni wa hapahapa kwny soka!
   
 9. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  I reserve my comments!!??
   
 10. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Mtetea tayari katangulia, kapambwa kama bibi harusi anayemngoja mumewe; ni jogoo tu anayesubiriwa ili shughuli ianze. Kwa hakika Simba lazima apakatweee!
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Asante kwa picha,lakini username yako kule kwetu ina maana nyingine kabisa.
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii kauli yako kesho au baada ya fainali uirudie!:A S 103:
   
 13. Nditu

  Nditu Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Aha kumbe umeshamaliza kushushia bangi kwa milungi na soda vile? Kwani Jangwani mmeshalivuka lile tuta la St. George au ndiyo wataimbiwa kale kawimbo ka Rose ka 'nibebe, nibeebe, nebeebe.......' kama mlikoimbiwa siku ile ya Red Sea?
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 15. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Sasa waheshimiwa, hizi picha ambazo zinaashiria ngono, zina uhusiano gani na mpira wa yanga na simba? Hivi ni kwanini tuhusishe ushabiki wa mpira na ngono? au ndio tunachowaza mara kwa mara?

  Nakumbuka mechi moja ya Yanga na simba, 1983 enzi za akina Ahmed Ahmasha, Simba walilizwa 3 kwa 1. Mdogo mmoja akawa anaimba ule wimbo " simba kainama, yanga ka... dole". Alichukua mkong'oto kutoka kwa washabiki wa simba mpaka alijuta...
  Anyway, suala langu, ni kwanini tunahusisha kufunga au kufungwa na mambo ya ngono?
   
 16. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Acheni unafiki sifieni timu mnajifanya wa mbele wakati wewe bado mtanzania tu now we have simba and Yang no matter how they have been defeted !love your thing no matter how it looks
   
 17. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #17
  Jul 8, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Hapo mtakapoona Yanga amefuzu leo jioni (Asomaye na afahamu) ndipo Mnyama atafute pa kukimbilia vinginevyo picha ya Mluga itatimia kiukweli!

  Simba watajitahidi sana kuishangilia St. George ili kukwepa kutimia kwa unabii huu lakini hawataweza kwa kuwa ubingwa wa Yanga umeandikwa kwa kalamu ya chuma!

  Simba kajileta mwenyewe lazima apakatweeeee....!
   
 18. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Huyo jogoo naona kama ana rangi nyekundu vile au ni macho yangu?
   
 19. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Simba cautioned: Kuku style ahead!
   
 20. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ooookkkey, baada ya kushuhudia ushindi mnene kutoka kwa yanga, na baada ya wewe kuniudhi kwa picha zako za ngono, nimeaamua kuwazawadia yanga hizo epo zangu mbili ili mnyama akalishwe hayo matunda ambayo yako katikati ya bustani yangu.
   
Loading...