Salaam kutoka Zanzibar - Hotuba kamili - Msikie SEIF SHARIF HAMAD-Si mchezo

- Ndugu yangu Mwiba it is about time sasa ukaanza kuongea solution, kuliko ku-preach vitisho zaidi, maana hakutakuwa na solution kwenye line ya vitisho,
na yaliyopita sio ndwele sasa tugange yajayo.
 
Tena wandugu kuna ushidi mkubwa sana ambao umepatikana katika mauaji yale na mheshimiwa Mkapa hatoki hata akizikiri ...!
Tazama source kutoka kwenye vyombo vya serikali ,halafu mtu hapa anasema si waZanzibari wote ,wote hiyo unayoifahamu wewe haipo hata kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwa wapo watakaoingia Peponi na wataoingia Motoni ,hivyo inaposemwa wote msishituke na kufika mbali sana.

According to one Zanzibar Town witness: "In the week prior to the demonstration there were armored vehicles and artillery on the streets. They were driving around and firing into the air to intimidate people."22 Remarks made by police and CCM ruling party officials to some Pemba residents also portended violence. For example, a man in Mtambwe was told by a police officer, "Don't go to the demonstration-you won't return."23 A former CCM member and retired senior civil servant told CUF members the week before the demonstration that they would be killed in Zanzibar.24 One CUF member of the House of Representatives was reportedly warned by a police officer friend that he should not stand in the front line, but march in the rear: "If you march in the front, you won't return."25
 
Tena wandugu kuna ushidi mkubwa sana ambao umepatikana katika mauaji yale na mheshimiwa Mkapa hatoki hata akizikiri ...!
Tazama source kutoka kwenye vyombo vya serikali ,halafu mtu hapa anasema si waZanzibari wote ,wote hiyo unayoifahamu wewe haipo hata kwa Mwenyezi Mungu kwa kuwa wapo watakaoingia Peponi na wataoingia Motoni ,hivyo inaposemwa wote msishituke na kufika mbali sana.

According to one Zanzibar Town witness: "In the week prior to the demonstration there were armored vehicles and artillery on the streets. They were driving around and firing into the air to intimidate people."22 Remarks made by police and CCM ruling party officials to some Pemba residents also portended violence. For example, a man in Mtambwe was told by a police officer, "Don't go to the demonstration-you won't return."23 A former CCM member and retired senior civil servant told CUF members the week before the demonstration that they would be killed in Zanzibar.24 One CUF member of the House of Representatives was reportedly warned by [
Mwiba punguza hamasa, punguza munkar, . Kuna mengine unaeleza nakupigia makofi. sawa. Lakini mengine unayosema ni pumba . acha hiyo. Sema yale tunayoyahitaji kulinda Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.
 
police officer friend[/B] that he should not stand in the front line, but march in the rear: "If you march in the front, you won't return."25[/QUOT
Who did not wan those Guys. Ulifanyika mkutan kule Na Dr. (Marehemu) aliwakanya, na kuwatafadhalisha wasiende vituoni kwa polisi na fujo zao.
 
naona unamtazama kwa woga ,usifikirie Seif ni Makamba ,CCM ndio iliyowakumbatia waarabu na ndio maana huko Arusha kulitokea mgogoro lakini jamaa wakatengeneza kwa vile wameshawanunua viongozi na wanyama wao upo ,wote wamechanganywa pamoja hawafurukuti ?
sasa nyinyi CUF hamna tena -baada ya Seif? Hicho Chama? Hivyo hakuna kiongozi huko? kwenu zaidi ya Seif. Seif -Seif acheni hiyo. CCM wanakwenda na wanabadilika. Sasa Mwiba elewa kuwa Seif hana nafasi CUF inaweza ikawa na nafasi Zanzibar.
 
Hata mimi siamini kama ni msimamo wa wazanzibari wote lakini cuf si ndio chama chenye nguvu huko visiwani?
Maalim Seif kama mwanasiasa naona maneno ya JK kuwa wataulinda muungano kwa nguvu zao zote yamewatisha ukizingati uchaguzi mkuu ni mwaka kesho. Bado tutasikia mengi sana inavyoonyesha ila sijui JK atafikia hatua kama ya Mkapa ama vipi, kwasababu muungano nadhani unapewa sapoti na watanzania wengi na JK anataka afunge bao lakisiasa.
Tusubiri tuone.
Nafikiri inabidi uelewe kuwa kuwa CUF siyo chama chenye nguvu huko Zanzibar. Sasa ukifahamu hilo utaweza kuelewa porojo na madai yao.
 
- Ndugu yangu Mwiba it is about time sasa ukaanza kuongea solution, kuliko ku-preach vitisho zaidi, maana hakutakuwa na solution kwenye line ya vitisho,
na yaliyopita sio ndwele sasa tugange yajayo.

Hakuna vitisho kama ni vitisho ametoa Raisi Kikwete ,ambae hajui kama yeye ni State Leader amekuwa ni mwanachama wa CCM,haikataliwi hivyo lakini kila jambo na sehemu yake,napingana na hawa wanaosema amevaa kofia mbili sijawahi katika uhai wangu kuona mtu anatembea amevaa kofia mbili au hata moja kuikamata mkononi na akienda hatua hamsini akaivaa na kuikama ile iliyopo kichwani ,haingii akilini kabisa na mtu akifanya hivyo atakuwa mgonjwa wa akili na si mlevi wa Tende maana hata mlevi hafiki kufanya hayo.

Lazima iwepo tofauti ,Kikwete hakwenda Pemba kwa ajili ya kusheherekea sherehe za CCM ,alikwenda hata sijui alichokwendea lakini alienda kufungua tangi la maji ,ni aibu kwa Raisi kujipeleka mzima mzima kutoka atokako anaenda kufungua tangi la maji ,Pemba hakuna umeme maji hayo hayafiki kwa wahusika kama umeme haupo ,jamani haya ni maajabu makubwa na tatizo ukienda Pemba watakuperemba Kikwete ameperembwa au amevalishwa mkenge na amepata malipo yake nb ataendelea kupata maana Pemba hakuna dogo.
Mwenyezi Mungu amuonyeshe njia iliyobora katika uongozi wake.
 
Na Wenzetu Visiwani wamezidi kulalamika!

Kila kitu kinaangaliwa ktk jicho la CCM na CUF!

Hivi ni saa ngapi hufanya kazi?

Bila kazi maendeleo sifuri!
 
Nafikiri inabidi uelewe kuwa kuwa CUF siyo chama chenye nguvu huko Zanzibar. Sasa ukifahamu hilo utaweza kuelewa porojo na madai yao.
Ni kweli CUF sio Chama chenye nguvu wenye nguvu ni CCM tu.
Na lazima uite porojo maana hamna la kusema isipokuwa kubangaiza kudanganya na kulaghai watu ,mumemaliza miti sasa munamalizana wenyewe kwa wenyewe. Au uongo ?
 
Ni kweli kwa wanaojuwa mambo ya siasa na kusoma katikati ya mistari basi watajuwa kuwa hotuba ya JK imegusa sana ndugu zetu wa huko Pemba. JK vijembe vingi naona anatingisha kiberiti aone CUF watasema nini.
Hilo la kofia mbili umeniacha hoi Mwiba...Tatizo ndiyo hilo,kuingiza siasa za vyama kwenye muungano wa kitaifa. ccm kama mlikubali vyama vingi na chama chenu ndiyo kinadai ni chama cha mapinduzi,then vipi kwa wale wanaotaka muungano lakini si chini ya mapinduzi ambayo wao wanaona kama changa la macho,uonevu na uvamizi usioukuwa na makubaliano ya haki?

Kama ni kweli Zenji ilikuwa nchi before mapinduzi,na mapinduzi ya ccm yamegeuka mapinduzi ya ufisadi na mauwaji...Then kwanini msipingwe?

Mnatoa polisi bara kwenda kuuwa huko visiwani mnategemea muungano wa aina gani?

Muungano unaodumu ni wananchi na kamwe si kama huu wa matabaka ambao chama kimekuwa kama chaka la mafioso na kutumia dola kulinda udhalimu wao....Enzi za mwalimu na sasa ni tofauti,alipofikia mwalimu ni wajibu wetu kupaendeleza badala a kubweteka na kutumia dola na kufanya maamuzi kama walevi.

JK acha blah blah za kiswahili shughulikia muungano ukishindwa badala ya kuuwa achia ngazi.
 
rais kiongozi anayeshika dola kupitia chama cha siasa.

haiwezekani anapokuwa rais basi aweke cham chake kando,naamini hakuna aibu katika kutekeleza ilani ya chama kilichopo madaraka,huduma za maji,elimu,umme afya n.k zimeanishwa vyema kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm,hivyo inategemea ccm intekeleza nini na kwa wakati gani, kama suala lilikuwa kuzindua huduma ya maji sioni tatizo hapa ipo siku atazindua huduma ya umme huko.kuna msemo unasema kupanga ni kuchagua

wakuu tuweke hoja zenye kuleta nia halisi ya kuleta maendeleo kwa taifa letu na watanzania baadala ya hoja za kuchochea uvunjaji wa amani na kuharibu sifa ya taifa letu.

tuulinde muungano wetu kwa nguvu zetu zote ili watu wachache wenye nia mbaya na mungu wetu wasiweze kufanya hivyo hata mara moja.

nasisitiza tutumie maendeleo haya ya sayansi na technolojia ya mawasiliano kuweka mawazo na hoja zenye kuweza kuleta maemdeleo na tija kwa taifa letu baadala ya kutumia vibaya nafasi hizi kwa kurudisha nyuma jitahada za serikali ya awamu ya nne na wananchi wote wema wenye nia njema na taifa letu.

tuwe wazalendo na tudumishe amani,upendo, kuheshimiana na kuulinda muungano wetu ambao waasisi wetu wametuachia,njia pekee ya kuwaenzi waasisi wetu ni kuendelea kufanya yale mema waliotuachia hasa muungano wetu.

Thanx
 
Bebetov tatizo sio ilani ya chama,ilani haikumtuma Mkapa,Lowasa na mafisadi wenzao kuifisidi nchi na wakati wa Mwalimu ilani zilikuwa ni fikra za Mwalimu then wanaokuchagua ni wananchi kwa ujumla hivyo priority should be kuwatumikia wananchi first and then chama but yes hiyo iwe agenda yako ya siri kama unataka kusucceed.the problem is our leaders can not look beyond the party for the right peogle to run the country,i think they should appoint the qualified leaders from the opposition if they qualify and this will bring a challenge to their own party.
 
priority should be kuwatumikia wananchi first and then chama but yes hiyo iwe agenda yako ya siri kama unataka kusucceed.the problem is our leaders can not look beyond the party for the right peogle to run the country,i think they should appoint the qualified leaders from the opposition if they qualify and this will bring a challenge to their own party.

Sahiba kwa kweli nakubaliana nawe hasa kwa points hizo hapo juu,lakini bado naamini kama kweli unatekeleza ilani ya chama kilichomadarakani kwa kula nyingi za wananchi bila unafiki basi wowote ule hoja yako hapo juu lazima itatokea.

Ila naamini baadhi ya viongozi wanatekeleza ilani ya chama tawala kwa unafiki wakiwa na ajenda zao za siri ambazo azilitakii mema taifa letu kwa ujumla wake.

thx
 
rais kiongozi anayeshika dola kupitia chama cha siasa.

haiwezekani anapokuwa rais basi aweke cham chake kando,naamini hakuna aibu katika kutekeleza ilani ya chama kilichopo madaraka,huduma za maji,elimu,umme afya n.k zimeanishwa vyema kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm,hivyo inategemea ccm intekeleza nini na kwa wakati gani, kama suala lilikuwa kuzindua huduma ya maji sioni tatizo hapa ipo siku atazindua huduma ya umme huko.kuna msemo unasema kupanga ni kuchagua

wakuu tuweke hoja zenye kuleta nia halisi ya kuleta maendeleo kwa taifa letu na watanzania baadala ya hoja za kuchochea uvunjaji wa amani na kuharibu sifa ya taifa letu.

tuulinde muungano wetu kwa nguvu zetu zote ili watu wachache wenye nia mbaya na mungu wetu wasiweze kufanya hivyo hata mara moja.

nasisitiza tutumie maendeleo haya ya sayansi na technolojia ya mawasiliano kuweka mawazo na hoja zenye kuweza kuleta maemdeleo na tija kwa taifa letu baadala ya kutumia vibaya nafasi hizi kwa kurudisha nyuma jitahada za serikali ya awamu ya nne na wananchi wote wema wenye nia njema na taifa letu.

tuwe wazalendo na tudumishe amani,upendo, kuheshimiana na kuulinda muungano wetu ambao waasisi wetu wametuachia,njia pekee ya kuwaenzi waasisi wetu ni kuendelea kufanya yale mema waliotuachia hasa muungano wetu.

Thanx

Namna ya kuzingatia yale mema ni kuyafanyia marekebisho yatakayoudumisha muungano huo na kuendelea kuufanya kuwa mwema,maneno ya vijembe ni kuwachanganya wananchi tu na ndiyo yenye kuchafua hali ya amani nchini mwetu...Sasa Maalim Seif anajibu vijembe vya JK sasa unadhani wakati wa kupiga kura kuna amani?

Unaposema watu watumia mtandao kuchafua amani na wakati huko visiwani ilishachafuka una maana gani? Wazanzibari kibao tu walipewa status ya ukimbizi,ni noma na kama si mtandao watu wangejuwa mambo ya ufisadi huu?

Hoja zenye kuleta nia halisi ya maendeleo hazijawahi kutolewa? Ama hata zinasikilizwa? Hakuna mtu anayeirudisha nyuma awamu ya nne ni awamu ya nne inajirudisha nyuma...Ofcourse nasupport muungano,lakini naamini unaweza kufanyiwa marekebisho yenye tija kwa pande zote bila kuchafua amani kama polisi walivyotumwa na ccm huko visiwani.
 
sasa nyinyi CUF hamna tena -baada ya Seif? Hicho Chama? Hivyo hakuna kiongozi huko? kwenu zaidi ya Seif. Seif -Seif acheni hiyo. CCM wanakwenda na wanabadilika. Sasa Mwiba elewa kuwa Seif hana nafasi CUF inaweza ikawa na nafasi Zanzibar.

Unaposema hakuna zaidi ya Seif sijakuelewa ,labda nikilinganisha na Ilikuwa hamna zaidi ya Nyerere ?

Baada ya Seif wapo tele kwani aliechambua wizi ufisadi unaofanywa na Tanganyika dhidi ya Zanzibar alikuwa Seif ?Shukuruni mmeachiwa Seif kuna wengine hawanywi tende wanakunywa maziko saa nane ,wacheni udhaifu wa kuitolea uvivu Serikali iliyoko madarakani kazi ya wapinzani ni kuibana serikali hata kwa jambo la kweli ni lazima kwa hali yeyote ile hilo hilo la kweli liambiwe japo halipendezi ,itatosha kusulubisha serikali na ndio mbinu za siasa.

Kuna mtu hapa kaandika sera za Chama sijui kwa vile yeye ni kiongozi anaweza akazizungumzia au kama miradi akaifungua , Mimi nakwambia kwa kiongozi alie makini hawezi hata siku moja akafungua miradi ya Chama japo yeye ni mwenyekiti au vyovyote awavyo ,Raisi na Mawaziri wanapoapa hawapi kuwa watakitumikia Chama kwa moyo wake wote ,hakuna hilo ,inawezekana Chama kumwalika Raisi kwenda kufungua miradi iliyotimizwa na Chama huko huko mabondeni lakini sio kwenye miradi ya serikali
Inapotoletwa misaada hapa Nchini kutoka huko mnakokujua nyinyi hailetwi kwa jina la Chama cha siasa ,inaletwa kwa kuipatia au kuisaidia Serikali ya Tanzania na wala si mwenyekiti wa CCM,hilo mnatakiwa raisi na mawaziri wake walifahamu, unapokwenda kufungua tangi la maji na kuwambia wananchi hizi ni sera za Chama chetu inakuwa unawadanganya wananchi ,kuwambia wananchi kuwa bara bara kama mgongo wa ngisi wakati si kweli huko ni kuwadanganya. Yeye ni Raisi alikuwa awe makini na kauli zake,kwani angelisema njia zetu ni mbovu lakini tunajitahidi hivyovyo kidogokidogo mpaka tutamaliza kungekuwa na kosa gani ?, Jamani semeni ukweli ! Uwongo ni dhambi ,lakini jamaa kaingia kwa vishindo mjini kwa watu,ni Raisi anastahili heshima lakini watu wanasema jiheshimu uheshimiwe.

Sasa kuna akina nyinyi mnaobeza viongozi wa CUF naamini kabisa yaliyosemwa ni maneno ya uhakika na ya kweli tupu,hajasingiziwa mtu wala hajazushiwa mtu, Seifu aliposema Kikwete ni mtoto kwake akimaanisha kuwa katika siasa ,Kikwete atakuwa hana ujuzi mkubwa kuliko Seif,Kikwete amemkuta Seif katika siasa tena Seifu ameshapitia sehemu nyeti nyingi tu,hivyo Kikwete hawezi kuzielewa siasa kama anavyozielewa Seif na kwa maana zaidi Seif anayajua mengi zaidi kuliko Kikwete.
Siasa za Kikwete haziwezi kufua dafu mbele ya Seif ,Mr Kikwete ataanguka tu na ndio kama tunavyoona msiojua siasa mtaona Seif ametoa maneno machafu sijui hayafai kuambiwa Raisi lakini Kikwete katika duru za siasa anaisabika amepata pigo kubwa sana kisiasa.Na ameambiwa bado hayo mengine pale si siku au pahala pake ,tayari utaona kuwa Seif amejenga tamaa kwa wananchi wasubiri siku nyengine.

Nendeni mkapumzike na story hiyo hapo ambayo ni latest ,halafu semeni kuna au wanataka kupeleka uarabu au kurudisha maendeleo ,tazameni vipi watu wanawajumuisha watu wengine na kuweka usawa kwa kiasi wawezavyo yaani angalau waonekane na wengine wanajumuishwa kikamilifu bila ya kudharau rangi,dini au kabila au Utaifa wao,wajulikane wapo au wamo.

http://www.thisisleicestershire.co....form-hijab/article-660197-detail/article.html
 
Wakuu,

Mimi ni Mtanzania wa Tanganyika, tena mweusi kama mpingo, lakini, naamini kuwa binadamu wote ni sawa na tuna haki sawa, uwe mweusi, mweupe au uwe mwanamke au mwanamume.

Katika hotuba zote tatu, siangalii maneno bali naangalia ukweli na uzito wa ujumbe unaoletwa na hayo maneno.

Ili kumizanisha ukweli na ujumbe ulioletwa na hotuba hizi inabidi turudi kwenye hotuba za
Kikwete na Kaume walipokuwa huko Pemba, zilikuwaje, zilikuwa na ujumbe unaostahili haya majibu au la?

Kama ulikuwa na vitisho au kebehi, kwa nini na kwa namna gani majibu yasiwe na vitisho na kebehi pia? Msemo huu walioutumia hawa viongozi wa CUF kuwa "ngoma ipigwavyo, ndivyo ichezavyo" ni msemo wa wahenga na una mantiki nzito ndani yake.

Inawezekana kabisa Mkapa hana lawama kwa mauaji ya Mwembechai, Unguja na Pemba.
Lakini, mauaji haya yalifanyika katika utawala wake na hakuna hatua za kuridhiha zilizochukuliwa kiserikali za kudhibiti mauaji haya wala kughulikiwa waliohusika.

Wananchi wasemeje? Serikali inasema, hata kama hukushiriki katika uhalifu, lakini ukishiriki kumficha mhalifu au hata kupatikana tu na mali ya wizi, basi wewe na mhalifu wote mnamakosa yanayowastahilia kusimama kizimbani. Kwa nini Mkapa asiweze kutuhumiwa katika hili? Si wanasema, "the buck stops here?"

Mimi naamini Wazanzibari, hususan CUF, wanakesi nzuri tu inayostahili kusikilizwa. Kama Ma-Albino wanaliliwa na wale wenzetu wengine wana haki ya kuliliwa pia. Naipenda sana ile kauli mbiu ya CUF, "haki sawa kwa wote."
 
- Ndugu yangu Mwiba it is about time sasa ukaanza kuongea solution, kuliko ku-preach vitisho zaidi, maana hakutakuwa na solution kwenye line ya vitisho,
na yaliyopita sio ndwele sasa tugange yajayo.

Yajayo ni mikakati ya kuing'oa CCM madarakani ,hizi tamaa anazo jipa Kikwete kuwa atatawala milele ni utamu wa madaraka Raisi ameanza kulewa na madaraka ,si ajabu kesho na kesho kutwa mkamsikia akisema wazee wamempendekeza aendelee kuongoza.Uongozi wa ahadi hewa.
 
__________________

- Demokrasia inakubali hilo mkuu la kuin'goa CCM kwa njia za halali, maana kumbuka na CCM nao siku zote wanajitayarisha kutawala milele na hakuna ubaya wowote kisheria na kidemokrasia, cha muhimu ni kwamba ifike mahali Seif akubali kuwa hana uwezo wa kuiong'a CCM kwa sababu kila anapotumia siasa za vitisho ana-fall into CCM's hands na anashindwa kukimbia kivuli chake mwenyewe, sasa ni wakati muafaka akaachia wengine kina Duni.
 
Inaonyesha nduguyangu huyu seif amekukaa sana weweyoote una kubali lakini huyu sefu tu?au ndio kwa ajili ya zike ndevu
Nduguyangu yangu unatutia wasisi sana na chuki zako hizi inaonyesha hawa wa washihiri humo katika maboda uliyo yataja wamekufanyia kitu mbaya kiasi ambacho ukiona unyasi mzee....jizoeshe kidogo kidogo utamzoeatu acha chuki sisi wote ni watanzania pasport anayo tumia sefu na wewe haina tafauti ndugu yangu hayo yoote uliyo yapata huko kwa waarabu ni kutafuta maisha usijali wacha ubaguzi wewe si umeenda mwenyewe piraus kwa mguu kwa hiyo meengi lazima yakufike mbona wenzako wengi wakirudi wanamzea tu.
 
Mkuu,
Bila kukuwekeni wasiwasi, FMES yuko sawa kabisa! huyu Sief - HAFAI!.. hafai hata kwa kulumangia kwa sababu huyu mtu ni pandikizi tu..CUF ni chama bora zaidi bila mtu huyu..
Kila siku anapozidisha matatizo kati ya bara na Visiwani ndivyo anavyowapa CCM support na nguvu ya kuzua sababu za kuendelea kushika madaraka kwa nguvu, wakidai kwamba kuna watu kama Sief wanaotaka kutugawanya...Vyama vya Upinzani havijengi uadui kati yao na chama tawala au kiongozi aliyeko madarakani, siasa haiwezi kwenda hivyo hata kidogo....What if Kikwete angekuwa CUF haya maneno bado yangemtoka..

Trust me, maneno ya Kikwete hayagawi watu zaidi ya hayo ya Seif kwa sababu Kikwete amezungumza kisiasa kwa kuvitumia vyama..Siasa ni mchezoi mchafu lakini una wigo lake hautoki nje ya hapo..na hii ni ruksa kisiasa lakini mjinga huyu kaingia na gear ya kuzungumzia mtu yaani Kikwete mwenyewe! imekuwa swala la personal kati yao wakati hakuna mahala Kikwete amemtaja Sief kwa jina wala ujinga wa nani mzee wa siasa kati yao.

Historia ya Zanzibar haihitaji Sief kuizungumzia zaidi ya Wazanzibar wenyewe kuifahamu kutokana na maisha yao ya kila siku..Wazanzibar walipigania haki hizi toka Sief akiwa CCM, kama waziri Kiongozi na waziri wa Elimu.. kujiunga kwake CUF haku jabadilisha matakwa ya wananchi na kama kweli anaijua vizuri Zanzibar namwomba yeye atueleze aliweza kufanikisha kitu gani akiwa kiongozi na mwanachama wa CCM.. maanake hapo ndipo tunaweza kumpima ubora wake..

Nakumbuka swali hili aliwahi kuulizwa na akashindwa kulijibu sasa narudia tena atwambie au nyie mnaomjua vizuri Sief na ubora wake twambieni mazuri alowahi kuyafanya kwa Wazanzibar akiwa Waziri kiongozi au waziri wa Elimu?...
 
Back
Top Bottom