Sala zetu tuzielekeze kwa Ndungai arejee haraka kuliokoa Jahazi

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Katika Bunge la Katiba, wajumbe UKAWA walimshangaa Dr. Mwakiembe kwa msimamo wake wa kutaka serikali mbili, ilhali katika "thesis" yake ya kupata udaktari alioifanya kuhusu muundo wa muungano wa Tanzania alionyesha sura nyengine ya serikali tatu

Katika " thesis" yako hiyo alinukuliwa kuwa Serikali tatu ndio muundo unaofaa. Lakini alipokuja kujitetea, alikanusha na kusema "wajumbe wamechukua kipande kimoja tu, wakati walipaswa kusoma sehemu iliobakia" Hoja yake ilionekana kuwa ni ya msingi.

Jioni hii,Mhe. Tulia akisoma hukumu ya wajumbe wa UKAWA, alinukuu adhabu waliopewa CUF kwa kususia Bunge. Kwa vile Spika anaweza kuchukua hukumu iliowahi kutolewa na Spika waliopita kwa kosa "liliofanana", na hivyo kuwatia hatiani

Bila ya kufafanua kosa waliofanya CUF la kususia bunge linashabihiana vipi na hili la kumsusia yeye Dr. Tulia (sio bunge).

Naibu spika ni mwanasheria kitaaluma, anajua kuwa haiwezekani ikiwa yeye ndie anatuhumiwa kuwa chanzo cha mgogoro akawa yeye ndio mwendesha mashtaka na vilivile kuwa Jaji!

Kama Dr. Tulia anaiishi sheria na kuiheshimu angeweza kukaa pembeni kwa muda kuachia sheria za bunge lichukue hatua stahiki chini ya wenyeviti, halafu angerejea.

Katika muhimili mwengine wa nchi, yaani mahakama, mtuhumiwa anahaki ya kumkataa Jaji katika shauri lake kama ataona kuwa hatotendewa haki. Seuze huku bungeni kuwa huyo Jaji ndio mtuhumiwa mkuu na ndio chanzo cha tatizo.

Tusimame kwa pamoja na kusali, kumuombea ndugu Ndungai apone haraka kuja kuliokoa jahazi linalotota kwa mwendo wa kasi. Ama kweli uzuri wa mtu huujui mpaka pale atapokuwa hayupo. Tumuuombee dua njema Ameen
 
Hi
Katika Bunge la Katiba, wajumbe UKAWA walimshangaa Dr. Mwakiembe kwa msimamo wake wa kutaka serikali mbili, ilhali katika "thesis" yake ya kupata udaktari alioifanya kuhusu muundo wa muungano wa Tanzania alionyesha sura nyengine ya serikali tatu

Katika " thesis" yako hiyo alinukuliwa kuwa Serikali tatu ndio muundo unaofaa. Lakini alipokuja kujitetea, alikanusha na kusema "wajumbe wamechukua kipande kimoja tu, wakati walipaswa kusoma sehemu iliobakia" Hoja yake ilionekana kuwa ni ya msingi.

Jioni hii,Mhe. Tulia akisoma hukumu ya wajumbe wa UKAWA, alinukuu adhabu waliopewa CUF kwa kususia Bunge katika mwaka 1988. Kwa vile Spika anaweza kuchukua hukumu iliowahi kutolewa na Spika waliopita kwa kosa "liliofanana", na hivyo kuwatia hatiani

Bila ya kufafanua kosa waliofanya CUF la kususia bunge linashabihiana vipi na hili la kumsusia yeye Dr. Tulia (sio bunge).

Naibu spika ni mwanasheria kitaaluma, anajua kuwa haiwezekani ikiwa yeye ndie anatuhumiwa kuwa chanzo cha mgogoro akawa yeye ndio mwendesha mashtaka na vilivile kuwa Jaji!

Kama Dr. Tulia anaiishi sheria na kuiheshimu angeweza kukaa pembeni kwa muda kuachia sheria za bunge lichukue hatua stahiki chini ya wenyeviti, halafu angerejea.

Katika muhimili mwengine wa nchi, yaani mahakama, mtuhumiwa anahaki ya kumkataa Jaji katika shauri lake kama ataona kuwa hatotendewa haki. Seuze huku bungeni kuwa huyo Jaji ndio mtuhumiwa mkuu na ndio chanco chaa tatizo.

Tusimame kwa pamoja na kusali, kumuombea ndugu Ndungai apone haraka kuja kuliokoa jahazi linalotota kwa mwendo wa kasi. Ama kweli uzuri wa mtu huujui mpaka pale atapokuwa hayupo. Tumuuombee dua njema Ameen
Hivi mwaka 1988 kulikuwa na chama kinachoitwa CUF!!!punguza haraka.
 
Ndugai siyo? Ngoja arudi tuone kama nae mtasusa! Bunge la katiba mlimpigia debe Sitta then mnajua kilichotokea! Hivi mmelogwa? Mnaendelea kuwekeza imani kwa watu kutoka CCM huku mkijua historia yake? Hata huyo Sitta alishatuchapa then tukawekeza kwenye umaarufu wake! Ngoja bakora ziongezeke hadi akili zenu zirudi!
 
Wakati unapolazimishwa kula kati ya tumbili na kima utafanyajee?
 
Katika Bunge la Katiba, wajumbe UKAWA walimshangaa Dr. Mwakiembe kwa msimamo wake wa kutaka serikali mbili, ilhali katika "thesis" yake ya kupata udaktari alioifanya kuhusu muundo wa muungano wa Tanzania alionyesha sura nyengine ya serikali tatu

Katika " thesis" yako hiyo alinukuliwa kuwa Serikali tatu ndio muundo unaofaa. Lakini alipokuja kujitetea, alikanusha na kusema "wajumbe wamechukua kipande kimoja tu, wakati walipaswa kusoma sehemu iliobakia" Hoja yake ilionekana kuwa ni ya msingi.

Jioni hii,Mhe. Tulia akisoma hukumu ya wajumbe wa UKAWA, alinukuu adhabu waliopewa CUF kwa kususia Bunge katika mwaka 1998. Kwa vile Spika anaweza kuchukua hukumu iliowahi kutolewa na Spika waliopita kwa kosa "liliofanana", na hivyo kuwatia hatiani

Bila ya kufafanua kosa waliofanya CUF la kususia bunge linashabihiana vipi na hili la kumsusia yeye Dr. Tulia (sio bunge).

Naibu spika ni mwanasheria kitaaluma, anajua kuwa haiwezekani ikiwa yeye ndie anatuhumiwa kuwa chanzo cha mgogoro akawa yeye ndio mwendesha mashtaka na vilivile kuwa Jaji!

Kama Dr. Tulia anaiishi sheria na kuiheshimu angeweza kukaa pembeni kwa muda kuachia sheria za bunge lichukue hatua stahiki chini ya wenyeviti, halafu angerejea.

Katika muhimili mwengine wa nchi, yaani mahakama, mtuhumiwa anahaki ya kumkataa Jaji katika shauri lake kama ataona kuwa hatotendewa haki. Seuze huku bungeni kuwa huyo Jaji ndio mtuhumiwa mkuu na ndio chanzo cha tatizo.

Tusimame kwa pamoja na kusali, kumuombea ndugu Ndungai apone haraka kuja kuliokoa jahazi linalotota kwa mwendo wa kasi. Ama kweli uzuri wa mtu huujui mpaka pale atapokuwa hayupo. Tumuuombee dua njema Ameen
Huwezi kumsusia tulia wamesusia bunge !
 
Ameen; hata kama siyo kuja kuokoa jahazi mambo ni unuhimu sana.lakini labda niulize tu kwani anaumwa nini?maana kama ni simu inamtaka yeye mwenyewe aokoke na kumkiri Kristo kama Bwana na mwokozi wake la siyo haiwezekani
 
Hi

Hivi mwaka 1988 kulikuwa na chama kinachoitwa CUF!!!punguza haraka.
Soma kwa makini na siyo kuruka ruka kama kuku anatafuta chakula mchangani. Mleta mada kasema mwaka 1998 kuwa CUF walipigwa adhabu na siyo 1988 kama unenavyo wewe.
 
Katika Bunge la Katiba, wajumbe UKAWA walimshangaa Dr. Mwakiembe kwa msimamo wake wa kutaka serikali mbili, ilhali katika "thesis" yake ya kupata udaktari alioifanya kuhusu muundo wa muungano wa Tanzania alionyesha sura nyengine ya serikali tatu

Katika " thesis" yako hiyo alinukuliwa kuwa Serikali tatu ndio muundo unaofaa. Lakini alipokuja kujitetea, alikanusha na kusema "wajumbe wamechukua kipande kimoja tu, wakati walipaswa kusoma sehemu iliobakia" Hoja yake ilionekana kuwa ni ya msingi.

Jioni hii,Mhe. Tulia akisoma hukumu ya wajumbe wa UKAWA, alinukuu adhabu waliopewa CUF kwa kususia Bunge katika mwaka 1998. Kwa vile Spika anaweza kuchukua hukumu iliowahi kutolewa na Spika waliopita kwa kosa "liliofanana", na hivyo kuwatia hatiani

Bila ya kufafanua kosa waliofanya CUF la kususia bunge linashabihiana vipi na hili la kumsusia yeye Dr. Tulia (sio bunge).

Naibu spika ni mwanasheria kitaaluma, anajua kuwa haiwezekani ikiwa yeye ndie anatuhumiwa kuwa chanzo cha mgogoro akawa yeye ndio mwendesha mashtaka na vilivile kuwa Jaji!

Kama Dr. Tulia anaiishi sheria na kuiheshimu angeweza kukaa pembeni kwa muda kuachia sheria za bunge lichukue hatua stahiki chini ya wenyeviti, halafu angerejea.

Katika muhimili mwengine wa nchi, yaani mahakama, mtuhumiwa anahaki ya kumkataa Jaji katika shauri lake kama ataona kuwa hatotendewa haki. Seuze huku bungeni kuwa huyo Jaji ndio mtuhumiwa mkuu na ndio chanzo cha tatizo.

Tusimame kwa pamoja na kusali, kumuombea ndugu Ndungai apone haraka kuja kuliokoa jahazi linalotota kwa mwendo wa kasi. Ama kweli uzuri wa mtu huujui mpaka pale atapokuwa hayupo. Tumuuombee dua njema Ameen
Kinachofurahisha ni kwamba sasa ndugui anaonekana ndio mkombozi, wakati naye mlikuwa mnamtuhumu, tutajionea ukawa unavyokuwa ukahawa safari hii,Dr tulia kawashika pabaya.

Tundulisu kimyaaaa kapata anayejua sheria Halafu ni PHD holder.
 
Ndugai siyo? Ngoja arudi tuone kama nae mtasusa! Bunge la katiba mlimpigia debe Sitta then mnajua kilichotokea! Hivi mmelogwa? Mnaendelea kuwekeza imani kwa watu kutoka CCM huku mkijua historia yake? Hata huyo Sitta alishatuchapa then tukawekeza kwenye umaarufu wake! Ngoja bakora ziongezeke hadi akili zenu zirudi!
Hujui kuna kitu kinaitwa competitive analysis ....!!!?

Kuna watu breakfast ni Chai na mkate wakati wengine uji wa chumvi na wengine breakfast ni ndoto ya asubuhi!!!
 
Naomba niulize.
Hivi wabunge wa upinzani wameausia bunge au wamesusia vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika. Kama ndivyo si kuna uwezekano wakasusia vikao vya asubuhi vinavyoongozwa nae na kuingia vikao vya jioni akiongoza mwenyekiti? kama ndivyo hiyo posho wanayokatwa inakuwaje, je itakadiliwa kiasi fulani au?
Mtazamo wangu wabunge wakiwa bungeni walipwe per diem tu na si sitting allowance ambayo ndio inaleta shida
 
Back
Top Bottom