Inasikitisha sana hauwezi jua leo kwa mwenzako kesho inagonga mlangoni kwako eheee Mungu tusaidieAmen , Amen
Unaweza kusema una shida ila ukija kumuangalia hali aliyonayo mwenzako utasema wewe ndio unamkufuru Munguinackitisha sana sana jamani, yaani hao watoto wamenitoa machozi.
Inasikitisha sana hauwezi jua leo kwa mwenzako kesho inagonga mlangoni kwako eheee Mungu tusaidie
inackitisha sana sana jamani, yaani hao watoto wamenitoa machozi.
Unaweza kusema una shida ila ukija kumuangalia hali aliyonayo mwenzako utasema wewe ndio unamkufuru Mungu