Sala zenu zinahitajika (Somalia's famine crisis)

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,206


A woman who identified herself as Chipure in northern Kenya.
She and another mother exchanged blows while waiting to receive treatment for their children.
 


Malnourished Somali children cry inside a paediatric ward at the Banadir hospital in Mogadishu.
The famine gripping parts of southern Somalia has spread to three new areas of the country,
with the entire south likely to be declared a famine zone within the next six weeks.
 


A malnourished Somali child looks into the camera inside a paediatric ward at the Banadir hospital in capital Mogadishu.
The famine gripping parts of southern Somalia has spread to three new areas of the country, with the entire south likely to be declared a famine zone within the next six weeks.
 


A newly arrived Somali refugee child awaits medical examinations at the Dadaab refugee camp, near the Kenya-Somalia border.
 


Cheikh Mukhtar carries the body of 20-month-old Anfac Anwar Mohammed across the family compound minutes after she died from starvation.
 


A Somali woman attends to her malnourished child along a corridor of the paediatric ward at Banadir hospital in southern Mogadishu.
 


An internally displaced woman holds her malnourished son at the Banadir hospital in Somalia's capital Mogadishu.
 


A malnourished Somali child cries at the sick-bay inside a paediatric ward at the Banadir hospital in the capital Mogadishu.
 


A malnourished Somali child cries inside a paediatric ward at the Banadir hospital in the capital Mogadishu.
 
Inasikitisha sana hauwezi jua leo kwa mwenzako kesho inagonga mlangoni kwako eheee Mungu tusaidie

Dunia tambara bovu TF..

inackitisha sana sana jamani, yaani hao watoto wamenitoa machozi.

Pole dear..
Ni kuwaombea na kuwasaidia tuwezavyo
megine Mungu atayarekebisha...
Inasikitisha sana

Unaweza kusema una shida ila ukija kumuangalia hali aliyonayo mwenzako utasema wewe ndio unamkufuru Mungu

Kweli kabisa..
Huwa hatujui thamani ya kitu mpaka kiondoke..
 
Jamani wewe mrembo wangu hizi picha umetoa wapi? Mungu wangu weeeeh inatia huruma sana!!!

inatia huruma sana dear..
Nimeona ni sawa kuona hasa
ni nini Jirani zetu wanakipitia sasa
Tuongeze sala...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom