Sala ya Usiku.

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Kuna mtoto mmoja alikuwa mvivu sana kusali wakati wa kulala kwa sababu ya usingiz na sala kuwa ndefu, hivo akaamua kuandika sala kwenye karatasi na kubandika ukutani chumbani hivo anavolala anasema 'Mungu soma pale mie nalala' huku akioneshea ile karatasi.
 
Aisee hata mimi mausingizi wakati mwingine nashindwa kabisa kusali, sijui ni pepo au..ila huyo dogo naye mmh, sijui tuseme ni ubunifu au?
 
Haa haaaaa dogo hajui kila mtu atabeba msalaba wake? Inabidi afanyiwe maombi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom