Sala ya toba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya toba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 5, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Habarini wenzangu nashukuru mwenyezzii MUNGU kwa kutulinda mpaka hapa tulipo leo hii si haba kukumbushana wenzangu vyema kabla ujaanza mamombi yako ya shukran na kumwomba mola haja zake basi ukumbuke kusali SALA YA TOBA
  Hii inasaidia Mungu kuwa karibu zaidi na wewe hasa ukiwa safi na ukiwa umekiri kwamba YESU ni Bwana\najua wwaweza kuuliza ni ipi??zipo sala mbalimbali lakini si mbaya ukiwa busy kumbuka sala ifuatayo

  KATIKA JINA LA YESU ,JINA LA UTUKUFU LA YESU KRISTO WA NAZARETI ,BABA WA MBINGUNI ,NINAKUJA KWAKO KWA NJIA YA YESU KRISTO NA KWA UWEZA WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU,NINAZIUNGAMA DHAMBI ZANGU ZOTE NAMI NILIZOTENDA KWA KUFAHAMU AMA KUTOFAHAMU KWA MAWAZO ,MANENO MATENDO ,NINAZIACHA DHAMBI HIZI ZOTE NAMI NINAAHIDI KWAMBA SITARUDIA TENA

  YESU KKRISTO NINAKUPOKEA KWA UPYA KATIKA MAISHA YANGU KUWA BWANA WANGU NA MWOKOZI WANGU.INGIA KATIKA MAISHA YANGU SASA,ANDIKA JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA,NIPE NEEMA YA KUWA MWAMINIFU HATAA MWISHO KUPITIA MWANAO YESU KRISTO ANAZARETI

  AMEN

  SALI SALA HII KABLA YA KULALA MUNGU AKUBARIKI
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  amen mkuu uwezi amini ni watu wangapi watakuwa wameungama na kuokoka japo kwa mda huo tu watakaosoma mana ni sala ya toba ata kimya watakuwa wameungama dhambi zao

  shika neno tenda neno
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Tuwapostie CCM nao waugame pamoja na mafisadi wao.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  jitahidi kujikomboa wewe mwenyewe kwanza ndipo ukaombe ccm wakombolewe...yawezekana dk za mwisho wana mafisadi wakauona ufalme wa mungu kwa toba yao huku ukisubiir toba
  Ubarikiwe
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Safi
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Ni safi sana mkuu ikiwa kama sala ya toba itatoka kwenye moyo wa mdhambi. Lakini kama ni kitu cha kuongozwa kukariri inabakia kuwa liturugia. Na ndivyo wengi wanavyofanya siku hizi. Mdhambi yeyote anafahamu makosa yake yote na ikiwa atajaliwa kumrejelea muumba wake ataungama maovu yake kwa Mungu huku akimaanisha na wala sii kumuungamia binadamu mwenzake. Kuna tofauti kati ya mtu anaeungama maovu yake kwa Mungu na watu kuombana msamaha kwa makosa waliokoseana wao kwa wao.
   
 7. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sometimes I wonder kama kweli ninyi ni washa.biki wa Dr Slaa ama ni walewale tu??? Haiwezekani kuwa wajinga kiasi hicho cha kujipiga risasi miguuni wakati mkiwa mwishoni mwa mbio za marathoni..
   
Loading...