mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,873
- 18,433
Siyo siri dua ya Wenger, na wenzake wa liverpool na man city ni kuwa chelsea ajikwae! Ule msemo kuwa wamechimba mashimo wakatumbukia wenyewe umetimia kwao. Wao wametangulia kudondosha pointi!
Laiti ungesikia dua yao leo tunapokutana na tottenham! Ni kama fisi ambaye anasubiri kwa hamu mkono wa mtu udondoke apate kitoweo!
Endeleeni kusubiri yamkini kuna siku mkono wa MTU utadondoka!
Laiti ungesikia dua yao leo tunapokutana na tottenham! Ni kama fisi ambaye anasubiri kwa hamu mkono wa mtu udondoke apate kitoweo!
Endeleeni kusubiri yamkini kuna siku mkono wa MTU utadondoka!