Sala ya Muathirika wa BAN za MODS Ukorofi wa Intaneti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sala ya Muathirika wa BAN za MODS Ukorofi wa Intaneti

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MAMMAMIA, Apr 14, 2012.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Enyi MODS wetu!
  Majina yenu yatukuzwe.
  Yabarikiwe majukwaa yetu yote hasa ya Chit chat MMU na Siasa.

  Ninaungama kwenu kuwa ninaipenda sana JF,
  kiasi kwamba haipiti siku bila ya kuingia.

  Mnisamehe kwa uropokaji wangu,
  kwani maoni ya akina Rejao na Ritz yananilazimisha kuwajibu.
  Naomba mnisamehe na kunifutia BAN zangu zote
  kama mimi ninavyowasamehe Airtel na Tigo
  wanapokatisha mawasiliano.

  Ewe Intaneti,
  Mawasiliano yako yaharakishwe!
  Uniruhusu downloads zangu za kila siku
  na uniepushe na Virus Mlaaniwa.
  AMEN
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,550
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
  Sometimes Mods hawako fair mi nakwambia. Mi walinitembezea ban bila kubalance kesi kesi!
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,862
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe!!
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mkuu! Penye wengi pana mengi.
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,550
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280


  Thanx mkuu. Uzuri JF ni kichuguu cha nguchilu. Ukimzibia tundu hili anatokezea kuleee mwendo mdundo.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Nakuingiza studio upo tayari??
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Alaaa! Kumbe ndiyo janja hiyo. Hayajawahi kunifika lakini sitosita kuchimba tundu jengine la kutokea.

  Poa tu.
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dah....sala nzuri....tuiombe kwa nguvu
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,550
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,978
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  Hivi ban huwa inakuaje? nina miaka minne hapa jamvini sijawahi kupata hata onyo
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hivi mbona kila mtu hapa JF akila ban anamsingizia Rejao na Ritz? Are they mods mpaka wawape ban? Hii dhana inabidi muiondoe. Sidhani kama hawa watu wanaweza kukusababishia ukose self discpline.
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,368
  Likes Received: 4,804
  Trophy Points: 280
  eh!! hongera zako wengine sisi ni magwiji wa ban.
  jukwaa la siasa ndo linaongoza kwa kuwapa watu ban.
   
 13. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,550
  Likes Received: 611
  Trophy Points: 280

  Tena huko huko mtu wangu. Mi mwenyewe nilikuwa sijawahi kulimwa ban lakini siku hiyo nikasema potele mbali! Issue yenyewe ilikuwa hivi:

  Ilikuwepo thread inayosema "Kumbe Viongozi wa CCM Iringa ni Waarabu!" katika kuchangi baadhi wakawa wanasema hawawaamini waarabu na wahindi na hivyo tusiwape sana uongozi; na wengine wanapinga sera ya kubaguana kimbari watz. Huku na huku mshamba mmoja kwa kufikiri kuwashambuli waarabu ni kushambulia uislamu sijui? Si akarusha bonge ya tusi na kashifa nzito kwa Ukristo just like that! Ee bwana nilipata moto! Nikapotezea kama nusu saa hivi nikaona jamaa wanajifanya halisomi tusi hilo. Si nikamnyookea huyo mshamba usoni kitu na box! Cha kushangaza mod akanimaindi afu akamwacha jamaa anapeta! Na mi kuona hivyo; si unajua tena madirisha ya jela huwa yako wazi? Nichomokea dirishani nikarudi kundini kisailensa! Anyway, ban imeisha, so niko frii.
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Rejao Mkuu, hii ni Chit Chat tu, binafsi huwa ninapenda michango yako na Ritz hasa mnavyokuwa hamhamaki licha ya madongo wanayaowatupieni.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  natambua kuwa ni chit chat, but hizi lawama tumekuwa tukizipata sana...
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Samahani Mkuu ikiwa nimekukwaza, haikuwa lengo kuungana na hao wanaotoa lawama hizo kwa dhati. Ulikuwa utani mbaya.
   
Loading...