Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,640
- 4,426
Mhhhhhhhhh
Siyo kidogoKazi ipo
Wameweka kwa kiswahili ili wewe mshenzi ueleweWazungu wanatuombea kwa kiswahili hahahahahahhahhaaa
Kwani wewe ni mshenziMshenzi ni mtu ambaye hajastaarabika!
Kwa kawaida mwanadamu unavyojiona au kujitafsir wewe ni tofauti na inavyokuona au kukutafsiri jamii au watu wengine,mfano wewe unaweza ukawa unajiona ni mtu uliyestaarabika sana kumbe kuna watu wanakuona ww ni mshenzi sana!Kwani wewe ni mshenzi
Jibu swali mkuu ndio au hapanaKwa kawaida mwanadamu unavyojiona au kujitafsir wewe ni tofauti na inavyokuona au kukutafsiri jamii au watu wengine,mfano wewe unaweza ukawa unajiona ni mtu uliyestaarabika sana kumbe kuna watu wanakuona ww ni mshenzi sana!
Nimeshakujibu Mkuu!Jibu swali mkuu ndio au hapana
Mshenzi ni wewe mimi hapanaWashenzi ni mim na wewe
Mbona sijaonaNimeshakujibu Mkuu!