Sala ya Kuwaombea toba washenzi wa Afrika kwa Bwana Yesu

yaani kuna vitu vya kipumbavu lakini vinaheshimika huku duniani.ninina.
 
Kama lile fort jesus kule momba kilikuwa ni kituo cha kuuza washenzi wa Africa
jamaa wametuchoka yaani malaika wanachorwa weupe kama wao, lakin shetani anachorwa mweusi kama sisi ingawa naye alikuaga malaika enzi zake, yaan sasa eti shetani ni mshenzi mwenzetu, yaani wao weupe ndugu zao malaika. sisi weusi ndugu yetu shetani
 
Mizimu ya mababu na mabibi zetu tusaidie tuepuke huu ushenzi
 
Yes, duniani kuna washenzi wengi, hata wewe unaweza kuwaombea washenzi wa Ulaya ili watoke ktk ushenzi wao wa kibaguzi, ndoa za jinsia moja nk.

Vv
 
Back
Top Bottom