Sala kuombea chupi ya mume baada ya kuifua: KWA WANAWAKE TU!!!!!!!

Naiombea chupi ya mume wangu, naitasaka kwa damu yako, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya haja ndogo au kubwa tu. Naikabidhi ikiwa safi nilivyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe...Ameen.

unasema?hujawahi pigwa kitombo wewe!!!
 
Naiombea chupi ya mume wangu, naitasaka kwa damu yako, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya haja ndogo au kubwa tu. Naikabidhi ikiwa safi nilivyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe...Ameen.
Hii sala sasa aking'ata na waduu itakuwaje ??
 
sweetlove una mume? ndoa ni sehemu ya ibada takatifu na mojawapo ya vifaa muhimu kwenye ndoa ni chupi. utani ni kwa yumba ndogo ama kwa boyfriend. sasa kama unashangaa kuombea chupi, wenzio tunaombea uume kabisa na kuuweka wakfu kwa Mungu.

Sijaipenda! Kwanini jina Yesu kwenye utani? Kuweni makini bwana.
 
Naiombea chupi ya mume wangu, naitasaka kwa damu yako, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya haja ndogo au kubwa tu. Naikabidhi ikiwa safi nilivyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe...Ameen.

Hahahahahah lol! Mkare ulikuwa unawaza nini mpaka ukaibuka na maombi kama haya hahahahah lol!

Last edited by a moderator:
Naiombea chupi ya mume wangu, naitasaka kwa damu yako, anapotoka katika nyumba hii ivaliwe hapa na ivuliwe hapa tu. Kama ataivua sehemu nyingine tofauti na nyumbani kwangu baba iwe kwa ajili ya haja ndogo au kubwa tu. Naikabidhi ikiwa safi nilivyoifua mwenyewe naomba irudi safi niifue mwenyewe...Ameen.

Hi kali..Nimeipenda..ila naona chupi haina tatizo..tatizo ni internet connection kati ya kile kilicho ndani ya chupi na kichwani...ukiweza kuombea link iwe inapotea hadi anarudi nyumbani itakuwa bomba sana...Au kama utakuwa umeweka password..utakuwa umemaliza..
 
nahisi chupi yangu imeombewa, jana nilishindwa kutenda dhambi nje ya ndoa, mtando wa kutendea tendo la ndoa uligoma kata kata kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom