Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,314
- 2,635
Katika dunia ya leo hakuna kitu unachokiona na kikawa hakina thamani,kwa wale waishio miji mikubwa wameona jinsi watu wanavyo okota makopo ya ma maji, vyuma, mawe, na hata zile nywele sinazotupwa toka salon na kuufanya ule msemo wa "chazamani ni dhahabu" mie nae nimejaribu kufanya utafiti na kugundua kwamba ninaweza kuanza kukusanya saketi za simu toka kwa mafundi simu na kupata mzigo mkubwa.
Mfano kama kila siku nitanunua kilo 20-30 inamaana kwa mwezi naweza kupata tani moja ya saketi mbovu za simu.
Na hata kama nitapata faida ya sh 1000 kila kilo inamaana kila mwezi nitakuwa napata 1.ml mpaka hapo zitakapo anza kuadimika.
Tabu iliyopo ni soko sina uhakika kama hii biashara hapa kwetu tz ipo ila nasikia China kuna makampuni yanafanya hii biashara. www.recyclechina.com lengo la post yangu ni kupata uelewa wenu mzuri juu ya hili wazo langu na soko kwa ujumla pia nitafurahi kama nitapata mchanganuo utakaonipa njia ya kuanzia.