Sakaya ni zao la UKAWA, leo anaipinga UKAWA, hakika yupo kwa Maslahi yake

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
SAKAYA YUPO CUF KWA MASLAHI YAKE
Ni mimi Mwanaharakati ndugu yenu Daktari J. K. Ngondwe M/kiti Wa Cuf Tawi la Livingston Kata Ya Mwinyi na mjumbe wa Kata wa chama cha wananchi Cuf na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya Tabora mjini.

Hata uanachana wake umeupata kimaslahi, mwaka 2005 wakati Bwana yule anamteua kuwa Mbunge Viti Maalum kutoka wilaya Urambo, viongozi na wanachama wa wilaya hiyo walilalamika kwamba hawajawahi kuwa na mwanachama huyo, pamoja kwamba haijalishi kuwa ni mchaga lkn hajapatapo kuishi wilayani humo, baadae ilibainika kuwa uanachama wake ulisukwa na wapiga dili wawili ambao alikuwa na uhisiano nao wa karibu sana Amiri Kirungi na Hassan Doyo ambao baadae wote wawili walifukuzwa uanachama kwa kukosa uadilifu.

Inasemekana hata kuteuliwa kwake mara mbili mfululizo kulitokana na wapiga dili hao wawili kumsimamia kidete ktk teuzi hizo, lkn cha kushangaza pamoja na kuwa mbunge vipindi vitatu mfululizo na Naibu Katibu Mkuu Bara, CUF wilaya ya Kaliua (zamani URAMBO) haina cha kujivunia zaidi ya Ubunge wake Sakaya ambao pia ameupata kwa mbeleko ya UKAWA, ambayo baada ya kuvuka mto, Leo hii anadiriki kumtukana Mamba.

Sakaya kwa vile yupo CUF kimaslahi na siyo kuijenga ameamua ashiriki kupiga Dili kubwa la kuiuza CUF kwa CCM, na hasa anajua hawezi kuwa tena mbunge kwenye jimbo la Kaliua, baada ya kuutukana UKAWA.

NASISITIZA SAKAYA YUPO CUF KWA MASLAHI YAKE
Hayumkiniki Mtendaji wa Chama kwa upande wa Bara kuanzia Juni 22 2014, miezi 6 baadae Desemba 11, 2014 tunaingia ktk uchaguzi wa Serikali za mitaa, na huku akiwa bado ni mbunge tangu 2005 kutoka wilaya hiyo ktk uchaguzi huo ambao Wilaya ya Kaliua ina vijiji 71 tazama matokeo yake.
CCM vijiji 44
CHADEMA vijiji 19
CUF vijiji 8.
Tunashindwa hata na CHADEMA ambayo haikuwa hata diwani ktk wilaya hiyo?

Sakaya ameshindwa kuijenga CUF hata jimbo alilogombea la Kaliua lenye kata 13 tu aliweka wagombea udiwani kata 10 wakati CCM, ACT na CHADEMA wakiweka kata zote, NCCR na TADEA kata moja, kwani wilaya ya Kaliua ina majimbo mawili likiwemo na Ulyamkuru lenye kata 12 ambako aliweka wagombea kwenye kata 2 wakati CHADEMA na CCM wameweka wagombea ktk kata zote na ACT kata 5.

Jimbo la Kaliua hatukuwa na vigezo vya kuachiwa ndani ya UKAWA, Sakaya alipewa kwa heshima ambayo Leo baada ya kupiga BINGO nzuri kwa CCM ameamua kusaliti na kutoa Matusi kwa Maalim Seif, AMA KWELI DILI ZINAUA HATA NDUGU YAKO.

Matokeo ya Udiwani Jimbo la Kaliua lenye Kata 13.
CCM kata 10
CHADEMA 2
ACT 1
CUF 0

Matokeo ya kura za Udiwani;
CCM 21,287
CHADEMA 13,410
CUF 7,954
NCCR 270
TADEA 41

Ukizijumlisha kura zote za UKAWA 21,634 tofauti ya kura 348 ya kura 21,982 alizozipata Sakaya, UKAWA una kila sababu ya kujivunia Ubunge huu.

Kama CHADEMA na NCCR wangeweka wagombea ubunge sehemu kubwa za kura zingetoka kwa Sakaya na kwa tofauti ndogo aliyoshindia ya kura 1,583, CCM walikuwa na uwezekano mkubwa wa kulitetea jimbo hilo. na ukizingatia vyama vya ACT na TADEA vilipata kura sembuse CHADEMA na NCCR.

MATOKEO YA KURA KWA KILA CHAMA.
CUF 21,982
CCM 20,299
ACT 7,244
TADEA 563

Ukiichambua Taarifa hii kwa utulivu kabisa ndipo utakapojua
SAKAYA YUPO CUF KWA AJILI YA MASLAHI NA SIYO CHAMA KAMA TAASISI, KAMA ANASALITI UKAWA ULIOMSAIDIA KUPATA UBUNGE, ATASHINDWAJE KUIUZA CUF KWA CCM?

OHAAA!!!! MWANACUF AMKA WEWE UNABAKIZIWA MANYOYA. Baada ya kukujulisha SAKAYA Vile alivyo sasa nitakuja kukujulisha kuhusu Mh. KAPASHA na wengineo kibao,
 
hebu weka na yale ya segerea kwa yule dada aliyezawadiwa viti maalum , baada ya kuhakikisha dili. linakamilika ,
 
...kwa jinsi siasa za majitaka za kibongo zilivyo za kujuana....kuna wakati ukimsikia huyu mama siku hizi anavyomshupalia maalim na kumfagilia prof...waweza hisi anagawa shavu kwa prof...maana si kawaida....anaona kazi yote iliyofanywa na kina maalim na lowassa huko ukawa kuwa ni bure....inasikitisha sana...
 
Lowasa kafanya kazi gani kama sio kutafuta platform ya kufikia malengo yake ya urais , serikali za mitaa ukawa ilifanya vizuri lowasa alikuwepo , hebu lowasa aingie ACT kama atapata hata 1/8 ya kura alizopata 2015
 
...Nenda kawaulize viongozi wanaopambana na ukawa sasa ndani na nje ya bunge watakuelewsha...maana kipofu we usiyeona mahitaji kufunguliwa....maana hata kusoma takwimu huwezi...

zithromax, post: 18637196, member: 364362"]
Lowasa kafanya kazi gani kama sio kutafuta platform ya kufikia malengo yake ya urais , serikali za mitaa ukawa ilifanya vizuri lowasa alikuwepo , hebu lowasa aingie ACT kama atapata hata 1/8 ya kura alizopata 2015
 
..Ulizia viongozi wako wakwambie impact ya lowassa kwenye uchaguzi uliopita...maana ushabiki wenu umewajaza upofu...hamuelewi hata takwimu rahisi tu....

acha bangi lowasa kafanya kazi gani kama sio kutafuta platform ya kufikia malengo yake ya urais , serikali za mitaa ukawa ilifanya vizuri lowasa alikuwepo , hebu lowasa aingie ACT kama atapata hata 1/8 ya kura alizopata 2015
 
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, yeye kausaliti UKAWA uliombeba.

Sakaya ndiyo basi tena ubunge atakuwa anausikia redioni.
 
Anajichimbia kaburi, watanzania wanamchora tu, hakuna asiejua Dhamira ya Bwana Yule kwenye upinzani wa Tanzania!
 
Sakaya kawa mbunge toka 2015 na Ukawa imekuja 2015 halafu unasema awe zao la ukawa? Labda kama ukisema ukawa ni zao la Sakaya
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom