Kwa mujibu wa Mhe. Tundu Lissu kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama haikeweza kutoa taarifa ya jaribio la mauaji dhidi yake toka mwaka 2017. Kwa vyovote vile watanzania wangependa kupata ufafanuzi juu ya jambo hili ili kutoa ukakasi uliopo juu ya kadhia hii.
Ni wakati sasa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufafanua na kutoa sababu zenye mashiko kwanini taarifa ya Bunge ya Ulinzi na Usalama dhidi ya jaribio la mauaji ya Mhe. Tundu Lissu ilifichwa? Ni maagizo kutoka juu au ni utashi binafsi wa spika?