Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Mimi nawashauri wapinzani hasa kiingozi wa kambi ya upinzani kuwa mkipewa nafasi ya kuuliza maswali Bungeni leo msitumie muda wenu kuhoji msimamo wa serikali ya Tanzania juu ya kinachoendelea huko Zimbabwe.
Nalisema hili mapema sana kwasababu najua sometimes huwa tunatoa kipaumbele kwa kuuliza maswali ambayo hayagusi sana wananchi wakati hivi sasa kuna mambo sensitive sana yanayofanywa na hii serikali ambayo wapinzani wanapaswa kuyashikia Bango.
Kipindi cha leo mkitumie kuuliza mambo yanayogusa watanazania na hili ka Zimbabwe mumuulize waziri wa mambo ya nje katika vipindi vya kawaida vya maswali na majibu Bungeni.