Sakata la Zimbabwe na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Alhamisi ya leo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Mimi nawashauri wapinzani hasa kiingozi wa kambi ya upinzani kuwa mkipewa nafasi ya kuuliza maswali Bungeni leo msitumie muda wenu kuhoji msimamo wa serikali ya Tanzania juu ya kinachoendelea huko Zimbabwe.

Nalisema hili mapema sana kwasababu najua sometimes huwa tunatoa kipaumbele kwa kuuliza maswali ambayo hayagusi sana wananchi wakati hivi sasa kuna mambo sensitive sana yanayofanywa na hii serikali ambayo wapinzani wanapaswa kuyashikia Bango.

Kipindi cha leo mkitumie kuuliza mambo yanayogusa watanazania na hili ka Zimbabwe mumuulize waziri wa mambo ya nje katika vipindi vya kawaida vya maswali na majibu Bungeni.
 
Kwa yanayoendelea Zimbabwe na uoga wa mtu fulani hapa Tanzania lazima awaongezee ration. Mfano mzuri alivyowaambia mandata eti wachukue rushwa na waiite hela ya kubrashia mabuti.
 
Breaking: Serikali Ya Tanzania, Yafunguka Kuhusu Zimbabwe na hatima ya Raisi Mugabe

Source: Zanzibar 360
 
kwanini iwe hivyo, kumbuka kuna ndugu zetu waTz kule, wengine wanaondoka leo kuja TZ
 
Wewe unafikra mgando.Hivi hujuwi kule kuna watanzania wanaishi?Huelewi kuwa ni muhimu sisi kujuwa usalama wao?Pia huelewi kuwa ni wakati wa Tanzania kushughulikia usalama wa ndugu zetu?
 
Mimi nawashauri wapinzani hasa kiingozi wa kambi ya upinzani kuwa mkipewa nafasi ya kuuliza maswali Bungeni leo msitumie muda wenu kuhoji msimamo wa serikali ya Tanzania juu ya kinachoendelea huko Zimbabwe.

Nalisema hili mapema sana kwasababu najua sometimes huwa tunatoa kipaumbele kwa kuuliza maswali ambayo hayagusi sana wananchi wakati hivi sasa kuna mambo sensitive sana yanayofanywa na hii serikali ambayo wapinzani wanapaswa kuyashikia Bango.

Kipindi cha leo mkitumie kuuliza mambo yanayogusa watanazania na hili ka Zimbabwe mumuulize waziri wa mambo ya nje katika vipindi vya kawaida vya maswali na majibu Bungeni.
Sawa mtengeneza maswali wa kambi ya upinzani bungeni tumekusikia!
 
Back
Top Bottom