Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 872
Kuna sakata la yule mdosi IQBAL, ambaye alimkabidhi eneo Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kule kigamboni ambalo SI MALI YAKE, baadae WAZIRI LUKUVI alitoa taarifa kuwa mdosi kampiga changa la macho Mkuu wa Mkoa, na yuko mbioni kumchukulia hatua za kisheria mdosi limeishia wapi?