Sakata La Xenophobia: Wamalawi wachoma moto basi la Afrika Kusini kulipiza kisasi raia wao waliouawa Afrika Kusini

Si ndugu zako ndo wanampa? yeye hana kosa yuko smart sana.,wewe na viongozi wako ndo siyo wa kuamini, na hiyo vita inayopiganwa kwa baadhi ya nchi za Africa ni ujinga wako wewe ji Africa umeamua kufurahia kumuua ndugu yako. kuna mzungu anapigana huko Maiduguri, Alshaabab wamo wazungu? kwa nini usikatae kushika silaha dhidi ya ndugu yako? ambayo pia hujui hata kiwanda chake kilipo?fyuuuuuu¬
Huu ujinga ulizia kwa babu na babu zako waliokuwa wanaletewa gololi za plastic wanabadishiwa kwa almas bro,husijifanye hujui. Angalia migodi yote ya madini hapa kwetu inamilikiwa karibu yote na wazungu je wanachotulipa kilikuwa kinastahili?
Wewe nadhani utakiwa Umeasiliwa si bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo moto tu hata raia wao wakiwakamata wachome moto wabaki hukohuko kwao wasitembee
 
Hapa ndio nakumbuka fadhila za mshumaa za Tzn kwa waafrika,tunajifanya tunajua utu Leo hii wanatung'ong'a
 
Consigliere hayo mabus mara nyingi madereva ni raia wa Malawi yamebeba abiria wa Kimalawi hapo wanadhuru mabus kwa kuwa vingine vyote ni Mali zao ni kama Maroli yanayochomwa Zimbabwe madereva ni Wazimbabwe wanaambiwa washuke na vitu vyao tuu mali za kaburu wachome moto...
 
Tatizo la Wasauzi ni wavivu tuu Nchi ina fursa za kufa mtu ndio maana wageni wakipata fursa wanafanikiwa haraka wao hawataki kufungua maduka hawawezi mwanzo waliaminiwa na Wachina raia wengi wa kisauzi kuchukua Kontena Durban na kuzipeleka Johannesburg walikua wakifika karibu na Jozzi wanabadili mzigo uliopo ndani na kuweka usio na thamani wametolewa wamepewa wageni wanalaumu wao ni wizi tuu...ishu yeyote ukimuhusisha msauzi kama hana exposure yeyote mkipata pesa anachofikiri ni kukudhurumu au kukuua ili apate yote...wameiba kwa kutumia kadi za bank sasa imekua ngumu,wakitumia bunduki lazima wakamatwe hiyo inawafanya kuungana na kupora maduka ya wageni na Mali zao kusingizia Xenophobia wakati lengo ni kuiba tuu...Johannesburg inakaliwa na wageni wao na wageni kutoka nje ya Nchi kipindi cha Desemba miaka yote inakua tupu watu wachache sana wote wamerudi makwao...
 
South African's wanasikitisha sana...

Kwanza wazungu wanabagua weusi, na weusi wanabagua weusi wenzao...

Hii chuki yote inapandkizwa na mabeberu, kuaaminisha weusi wazawa kwamba tatizo la ajira linatokana na weusi wageni kitu ambacho siyo kweli...

Ni sawa na sisi hapa tuanze kuaminishiwa kwamba haya matatizo yote tunayopitia wanasababishwa na Warundi...


Cc: mahondaw
 
Kwani hao wazawa wamekatazwa kuomba kazi kwenye hivyo viwanda? Au wamekatazwa na wao kuanzisha biashara ndogo ndogo?

Sijaona hoja hapo!

Watu wanapokimbilia Afrika ya Kusini si wote ni wahamiaji haramu, watu wanakimbilia fursa, na ndivyo hulka ya binadamu ilivyo. Ni kama jamii tofauti Duniani wanavyokimbilia Amerika.

Mzulu hataki kusoma, hataki kufanya kazi halafu anataka hela ya chap chap: Na jamii ya black wa Afrika Kusini wengi ni wavivu. Wamebweteka kutokana na hatua nchi yao ilivyopiga ambayo ni matunda ya wazungu.

Wageni wanakuja wanachapa kazi wanafanikiwa kimaisha. Mwisho wa siku wanajengewa chuki na wazawa na ndiyo hali halisi. Halafu mbona hawawagusi wahamiaji weupe?

Ukitaka kuijua vizuri akili ya Wazulu mwangilie Jacob Zuma na kipindi cha urais wake. Halafu mfananishe na Thabo Mbeki.
Halafu hii dunia tukianza kufukuzana unafikiri tutafika wapi?manake dunia nzima imejawa na watu wa mataifa mbalimbali. Wa taifa hili kaja huku wa taifa lile kaenda kule. Mpaka kuna intermarriage ndani yake humohumo.Sasa tukianza kufukuzana kila mtu aende kwao kutatokea vurugu ya ajabu sana!
 
20190904_165636.jpg

Hali mbaya Dunia nzima
 
Back
Top Bottom