Sakata la watanzania kufukuzwa Kenya; Spika asema Charles Njagua hana hadhi ya kujibiwa na Serikali. Balozi wa Kenya asema sio kauli ya Serikali

Huyu ni mbunge ameshindwa kufanya kazi aliochaguliwa na wanaanchi kufanya, Sasa anajaribu kujinusuru kwa matamshi ya kijinga tu. WAKENYA tunawapenda na kuwakubali Watanzania na Wana Afrika kwa ujumla.
Anatafuta political milage tu

Ova
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtaka Waziri mkuu kutoa tamko kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha mbunge wa Kenya akiwataka Watanza walioko Kenye kuondoka ndani ya Saa 24.

Jana mbunge wa Kenya Charles Njagua alimaarufu Jagwa alieimba kibao cha maarufu wa Kigeugeu alionekana akiihamasisha serikali kuwatimua wageni wote walioko Kenya wakiwemo watanznia

Na kwamba serikali isipofanya hivyo yeye atahamasisha wananchi kwenda kubomoa maduka yao na kuwafukuza kwa lazima.
Spika wa bunge anahangaika na political statements za kina Jaguar? Serikali ya kenya imetoa tamko lolote? Waziri mkuu atoe tamko kwa tamko la kichaa mmoja huko kenya?
 
Habari zajioni waungwana,
Kuna kitu kikubwa cha kujifunza juu ya mihemuko hisia pale unapotaka kuongelea jambo kwa watu.
Nikiwa km mwananchi wa kawaida nasikitika kuona mtu mmoja anaropka nakupelekea watu wengi kukosa utulivu wa maisha. Baada ya video hiyo hapo nimeambatanisha kusambaa hivi wa Kenya waliopo nje ya nchi yao yamekuwa na hali/hisia gani kuhusina na ustawi na jamii hizo.

Nisiwachoshe. Endelea kutafakari
 
wanasahau kuwa kuna ndugu zao kibao wanafanya kazi na biashara nje ya nchi yao, wapuuzi hao.
 
Nitaanza kumcharaza mboko na Mke wa alikiba kabla ya Tanasha na kile kidemu cha Benpol kijiandae
 
Kuna wakati na sisi Watanzania tuache upole, tuvute subra Mtanzania mwenzetu akifanywa chochote tu na sisi huku tunajibu mapigo na kutoa tamko rasmi kama Serikali ya Kenya imeshindwa kulinda raia wetu nasi pia hatuwezi kulinda raia wao... Fukuza wote kama walivyo tuishi hivyo sasa kila mtu na kwao..

Viongozi wetu muache ubinafsi na uchama, Tanzania tuna kila kitu na tunaweza kulijenga Taifa letu within 10yrs hawa nyang'au wakaja kupiga magoti hapa..
 
Back
Top Bottom