Tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nimeona kwenye picha katibu tawala (DSM) akisimamia zoezi za kuapisha wasimamizi wa kila wilaya. Je, wataripoti kwake? Kama ndiyo, hukumu ya ile kesi iliishia wapi?
Katika kesi ya Wangwe, hoja ya msingi ilikuwa “wakurugenzi”. Hii inayofanyika imekwepa “wakurugenzi” na kuweka “maDAS”. Serikali hapo imetumia technivally ya hukumu kuwaweka maDAS huku ikipuuza kuwa maDAS wanateuliwa katika mtindo ule ule wa wakurugenzi, wakuu wa wilaya na mikoa.
Ninaona kesi ijayo ikihoji kama serikali kusimamia chaguzi za vyama vya siasa na huku yenyewe pia inatokana na chama cha siasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.