Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
Ha ha ha aaaaaaMwakyembe: Ni marufuku kufunga ndoa kama huna cheti cha kuzaliwa
Mkuu: Mkuu wa mkoa unaruhusiwa kuforge vyeti vya kuzaliwa na taaluma, ila mwalimu na nesi marufuku.
Nyota INA ng'aaMbona anasujudiwa hivi huyu mkaka? Mkuu nae anatu-disappoint.
Hivi Yale maombi ya makanisaniHizi sura zitakuwa nyingi sana ila jamaa anazidi kupeta!
Kila uchao sakata linabadili sura lakini waapi!
Sheria ovu na nguvu havijawahi kushinda haki za raia popote pale katika historia ya kuumbwa dunia. Ukitunga sheria kisha ukishindwa kutenda haki, hiyo sheria ina tendency ya kuwa chanzo cha kuondolewa madarakani kwa utawala huo. Kumbuka kilichomuondoa "iron lady", Margaret ThatcherNimetoka huko uso wa kitabu aisee yanayoendelea huko kuhusu hili jambo la vyeti yanasikitisha...sijui kampa nini mzee,sijui alimuanzaga Sitta yaani almrad kila mtu anapost anachoamini anakijua utasema ni kama vile wanao-post wote wanaishi nje kama Mange but ukiziangalia profile zao wanaonekana ni wa Tandale kabisa,dah cyber crime act ikizingatiwa friends wote wa Tanzagiza wataenda ngome.I prey for them kwakweli.