Tetesi: Sakata la Viwanja Songwe Mbeya: Viongozi wa Chama na Serikali Wahongwa

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Messages
531
Likes
614
Points
180

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2016
531 614 180
Katika vikao vya kupitisha bei ya viwanja vya Songwe Satellite City, msimamo wa viongozi wa vyama na Serikali Wilayani Mbeya ulikuwa kila square meta moja kuuzwa kwa bei isiyozidi sh. 7,000/= (Dodoma wanauza square meta moja 6,000/=).

Lakini taarifa zinadai viongozi wa kisiasa na Serikali walipewa pesa na ahadi ya kupewa viwanja kulegeza msimamo wao ili bei isishuke. Mwisho wa siku ilishushwa kwa sh. Mia tano tu (500/=) katika kila square meta moja (toka 12,000/=) na hivyo bei ya sasa kuwa 11,500/= kwa square meta moja kwa viwanja vya makazi.

Mheshimiwa Rais tusaidie sisi wanyonge, huyu Nehemia Mchechu wa NHC anataka kutuumiza na hii kampuni yake binafsi.
 

Forum statistics

Threads 1,189,903
Members 450,860
Posts 27,652,961