BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
2005 jamaa yetu mmoja alioa akakaa na mke mwezi na nusu baadae yule mwanamke akaanza kuomba talaka,ukimuuliza jamaa kisa nini? anasema mwanamke anataka hati ya nyumba yao ya urithi.
Shughuli aliponyimwa hati ya nyumba akaanza kurudi usiku wa manane.
2009 bibie akapata bwana akatangaza kila sehemu,masikini yule binti akujua anaenda kuolewa na mume wa mtu aliekimbia nyumba yake na watoto watatu Iringa.
Mungu si mwanakijiji//wala basiasi /wala pawpaw aseme uongo wametangaza ndoa mara ya kwanza,mara ya pili na mara ya tatu shuguli ya harusi inakaribia.
Siku anatangaza tangazo la tatu ndugu wa mwanamke aliekimbiwa Iringa alienda kusali na ilikuwa pale Kijitonyama lutheran akamwona shemejie anasimamishwa gafla hee!! Akakaa kimya baadae akampigia nduguye huko Iringa panda basi la haraa uwezekanavyo kesho uwe Dar.
Mchungaji akajulishwa akasema well noted aje na vyeti vya ndoa,usimchezee Mungu hata kidogo.
Ijumaa ambayo Jumamosi yake ni harusi bibie katinga na full docs asubuhi,zikaenda kuchunguzwa kwa wah Magomeni wakakuta kweli mh ameoa.
Hawakumpigia BW HARUSI MMTARAJIWA muda ule ule wakamwacha kimya, Jumamosi asubuhi wakaitwa na kanisa wakaelezwa ndoa hakuna.
Akaulizwa bw harusi mtarajiwa, unamjua huyu?akajibu hapana.Akaambiwa 'huna ndoa nae huyu? Akaoneshwa cheti na picha zake wakiwa na watoto shambani, loh!! akadondoka chini.
Mwaka huo huo Disemba yule bwana nae akapata mke wakaenda kanisani akaonesha vyeti vya talaka safi kabisa ana watoto watatu na mke mmoja.
Wito tu; mume/mke wa mtu sindano jamani tuwe makini.