Sakata la Vicky Kamata limenikumbusha mbali sana... Malipo hapa hapa duniani kwa kweli!

Status
Not open for further replies.
Hii dhana nzima ya kwenda kuzuia ndoa huwa siielewagi aisee. Inakuwa ni kwamba mwenza wako hakutaki, halafu unamganda? Manake nikiambiwa a week before namuitia loya magumashi namsainisha documents za divorce chap chap namtolea nguo zake kwa dirishani.

hii habari ya kupigania mume ama mke ndo mapenzi ama ni uchizi? Au mie sipendi? Believe me you, nikikuta msg ya mapenzi kwenye simu ya paw siwezi kumpigia simu huyo dada. Nitauliza tu vipi mshkaji, ndo kusema? Halafu namuachia yeye kazi ya kunifuatilia na kunishawishi!

manake ukishazuia ndoa kanisani, mnarudi kuendelea na mapenzi as if he was sleep walking, ama ndo unaanza kugombana na kutukanana hadi aombe msamaha muendelee? How does it feel kuishi na mtu ambae unajua sheria tu inamfunga, otherwise he has better choices?

cc Kongosho, snowhite, AshaDii Kwa maelezo zaidi manake nyie ndo ntawaamini.

you are very right. Manake mpaka mtu kaenda kutangaza ndoa na mwingine, mapenzi na wake wa siku zote hayapo tena. Muhimu ni kuachana tu kila mtu na lwake.
 
Nilisikia kalazwa na anaumwa,daah kumbe ndo ugojwa wenyewe aumwao huo?... mhhh mapenzi haya.
 
Masai nditoo nimependa sana hii coment nikasema nisipite bila bonge la like.

unajua mkuu hii issue ni sawa na ya auntie Ezekiel katangaza weweeee naolewa naolewa KAOLEWA KADUMU KWENYE NDOA HAJADUMU

SASA HUYU HAKUPATA HATA FURSA YA KUINGIA NDANI

POINT YANGU NI KWAMBA NDOA SI ZA VYOMBO VYA HABARI NDOA NI NYINYI WAWILI

YAANI MPAKA AINA YA CHUUUUUUP YA BI NA BWANA HARUSI INAJULIKANA NI IPI WATAVAA SIKU YA HARUSIII???

ukitaka makuu lazima uumbuke
 
Sasa Masai, Mbona mpaka wanasema ashapewa kikacherini na huyo tapeli? tatizo langu ni kwamba inakuwaje anatangaza ndoa mpaka mjengoni ikiwa hajui ndugu na familia ya bwana? hivi inakuja kweli? au alidhani ndoa za kikristo ni sawa na ile ya ndiooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!! Nadhani waliosema ndio wameshinda hivyo aolewe. Ila ni fundisho kwa wasichana wote. Waache kupapatikia wanaume kwa uchu wa ndoa. Ona sasa yuko kwenye drip.
 
ndugu kama yasemwayo yapo ni funzo tosha kwa mabinti

BORA HII HAPA CHINI KULIKO HII AIBU
 
Attachments

  • 1401039697981.jpg
    1401039697981.jpg
    49.8 KB · Views: 671
Naweka kumbukumbu sawa.... Kuwa ukiwa kama kada wa ccm unaungana na wale wanaokiri kuwa Mh. Baba Riz Moko ni mzinzi..

Ngoja nijaribu kutaja baadhi ya majina yanayohusishwa na kumbukumbu hii:
Mwantumu
Zakia
Betty
Ummi
Vicky
...
 
Hii dhana nzima ya kwenda kuzuia ndoa huwa siielewagi aisee. Inakuwa ni kwamba mwenza wako hakutaki, halafu unamganda? Manake nikiambiwa a week before namuitia loya magumashi namsainisha documents za divorce chap chap namtolea nguo zake kwa dirishani.

hii habari ya kupigania mume ama mke ndo mapenzi ama ni uchizi? Au mie sipendi? Believe me you, nikikuta msg ya mapenzi kwenye simu ya paw siwezi kumpigia simu huyo dada. Nitauliza tu vipi mshkaji, ndo kusema? Halafu namuachia yeye kazi ya kunifuatilia na kunishawishi!

manake ukishazuia ndoa kanisani, mnarudi kuendelea na mapenzi as if he was sleep walking, ama ndo unaanza kugombana na kutukanana hadi aombe msamaha muendelee? How does it feel kuishi na mtu ambae unajua sheria tu inamfunga, otherwise he has better choices?

cc Kongosho, snowhite, AshaDii Kwa maelezo zaidi manake nyie ndo ntawaamini.

Kinachopingwaga ni mtu kuamua kufunga ndoa ya siri wakati anajua fika kuwa yeye bado ni mume au mke halali wa mtu. Mbaya zaidi wengine unakuta katelekeza mke na watoto anataka kufunga ndoa ya siri ya mke mwingine..hii lazima ipingwe vikali na kuwakomoa hao wajinga ibuka siku mbili kabla ya ndoa na vielelezo vyote ili wakome na iwe fundisho kwa wengine wanaocheza na ndo! Maandiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote kama umemchoka mwenzio achaneni kwa talaka then ndo utafute mtu mwingine uoe..not otherwise.

Pole dada Vicky Kamata kwa yaliokukuta
 
2008 hadi mwanzoni mwa 2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana nawaambiaga JK liko lizima.
 
2008 hadi mwanzoni mwa
2010. Nikiwa nafanya post doc Glasgow, nilijikuta ninamahusiano mabaya
na Vicky K. Yes alikuwa Southampton Solent University akifanya Masters
ambayo alifail. Kila Wiki alikuwa akija Glasgow. Nilimweleza nimeowa
hapa tunapashana moto. Bint alichanganyikiwa mno ... mara kadhaa
Kikwete alimpigia simu tumemchezea sana raisi ndiye aliyelipa fees. Mara
nyingi tulimweka kwa spika. Alirudi bongo akawa mbunge. Nilijichomoa
kwake nilirudi bongo 2011 mwishoni yeye akawa na mahusiano bado na
Kikwete na Eliakim Maswi. Alikuwa na pesa nyingi mno amewahi
kunikutanisha na Chenge, Ngereja, Cheyo sehemu fulani Dar wakanisihi
nikiwa na kadi ya CCM nitapewa ukatibu mkuu. Niliwajibu kisukuma nafsi
yangu itanihukumu. VK amejitahidi nivunje ndoa niligoma nampenda mama
mch yeye mchepuko. Tukakubaliana tuwe 2012 marafiki alinichukia mno
mno. Ndoa kwake ni kitu anachokithamini sana. Anawatoto 2 Levo 16 yrs
na Glory 5 yrs huyu ni wa Kikwete. Hii harusi amenitahidi mno Pinda
hata Makinda wamelazimisha paroko nusu aingie kingi uongozi wa juu
ulipozinasa ndoa isifunginge. Vicky nilimpima ngoma ndiyo maana
nawaambiaga JK liko lizima.

Mmmh! Hii kubwa kuliko.Vicky akipitia hapa anajua kabisa kwamba we ni nani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom