SAKATA la UWANJA wa NYAMAGANA: Ubomoaji Wake na Migongano ya Taasisi Husika

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
803
Two ministers differ over proposed hotel project

Two senior Cabinet ministers have given conflicting statements on the controversial $20 million (Sh24 billion) hotel project at the site of the historical Nyamagana Stadium in Mwanza.

While Lands, Housing and Human Settlements minister John Magufuli told The Citizen yesterday that he had never consented to the stadium being used for purposes other than those it was intended for, his Regional Administration and Local Governments colleague, Mr Mizengo Pinda, said he had no objection to the decision to build a five-star hotel and shopping mall at the site.

Said Mr Magufuli: "I haven't done anything...just ask Mwanza City Council to give you more details on what is happening there.

"Don't force me to say something I don't like to say...I don't like to discuss the issue."

In September last year, Mr Magufuli blocked the Mwanza City Council from selling the stadium to a local investor, describing the plan as ill-conceived, and aimed at grabbing public land under the guise of investment. He said the stadium would be demolished only over his dead body.

Mr Magufuli said he would rather have the stadium serve as a museum, training ground for members of the People's Militia (mgambo) or business site for small-scale traders.

He reminded Mwanza City authorities that the stadium was a historical site where many people were killed during the colonial era.

Bodies recovered from the sunken MV Bukoba were also taken to the stadium for identification in 1995. About 1,000 people died in the tragedy.

Contacted for comment, Mr Pinda said, "Those who opposing the development of Nyamagana have no concrete grounds for doing so. The football stadium can be relocated anywhere in Mwanza City.

"I understand the concerns of Mr Magufuli, but I think Mwanza City Council is right...there isn't any wrongdoing here," he told The Citizen by telephone yesterday.

He said if the tendering procedure was followed as required by law, then Mwanza City Council should proceed with their plan to find a strategic investor who would build a five-star hotel and shopping mall on the two-acre plot.

Mr Pinda said the stadium was at the heart of Mwanza's central business district, adding that it was time its use changed to speed up development in the lakeside town.

Mwanza City Council last week gave the go-ahead for the construction of a multibillion-shilling hotel amid stiff opposition from the public.

The Citizen has established that city authorities have begun demolishing the stadium amid tight security after the project drew mixed reaction.

Mwanza City director Wilson Kabwe said the council was demolishing dilapidated parts of the stadium to avert accidents that could harm people who had flouted the council's ban on conducting business and other activities at the venue.

But reliable sources within the council said the stadium was being demolished to pave the way for a successful bidder.

"The Government has suddenly changed its mind and has decided that a private developer take over the stadium," one of the sources said on condition of anonymity.

The majority of councillors said during their last meeting?that pupils and students from seven learning institutions in the centre of Mwanza would be severely affected by the decision to change the purpose of the stadium, let alone to privatise it.

But Mayor Leonard Bihondo allayed the councillors' fears, saying the stadium could not be offered to a private investor in the near future because a lot of groundwork was yet to be done.

The groundwork in question included surveying of the stadium and provision of a title deed, said Mr Bihondo. ?

Attempts to offer the stadium to private investors have failed several times following an outcry by various stakeholders, who maintain that he stadium should never be developed for purposes other than sports and recreational activities.

Most MPs in Mwanza Region are also opposed to plans to demolish the stadium and build a five-star hotel.

However, some legislators have asked the regional consultative committee to consider changing the use of the stadium despite Mr Magufuli's opposition.

Sumve MP Richard Ndassa said Mr Magufuli was misguided as the RCC meeting had the final say on the fate of the stadium.

The stadium should not continue to be used solely for sports while Mwanza Region was in dire need of hotels, he said.

"Some Great Lakes Region conferences were supposed to be held here, but Mwanza could not host the meetings owing to lack of hotels. It is a shame for any Tanzanian to suggest that such conferences be held in the city," Mr Ndassa said.

But Mr Ndassa's remarks were strongly opposed by Nyamagana District Commissioner Peter Madaha.

"Hotels do not necessarily have to be situated in city centres. We have to think of allocating plots for big hotels in areas surrounding the city, including Misungwi," he said.

Col Madaha said during the RCC meeting held before the end of last year that the minister's consent was inevitable in the city's plans to develop land because he was the one who issued building permits.

Ukerewe MP Gertrude Mongella also strongly opposed the idea of turning Nyamagana Stadium into a five-star hotel, saying that a reliable investor should be given suitable land along the Lake Victoria shores to build a posh hotel.

"Stadium development and attraction of investors to fast-track development of the city are two separate things," she said.

With hardly two acres of space, Nyamagana could not accommodate good investment ideas, Ms Mongella said.

The National Social Security Fund (NSSF) was the first to apply for an opportunity to develop the stadium earlier this year, but lost out to a businessman of Indian decent.

In August, last year, Information, Culture and Deputy Sports minister Joel Bendera wrote a strongly worded letter to Mwanza Regional Commissioner James Msekela, asking him to ensure that no project was allowed at Nyamagana Stadium as proposed by the city council.

The letter dated August 22, read in part: "Any plans to change the original use of the stadium should be revoked immediately because the stadium is one of the most important historical symbols of Mwanza City and the nation as well."

The Mwanza City Council had earlier proposed that a multibillion-shilling hotel and recreational centre be built at the Nyamagana Stadium site in a joint venture in which the Government and a strategic investor were to own 55 and 45 per cent shares, respectively.
 
What a shame mji wooooooote mwanza kuanzia naweza kusema Kisesa hadi ufike mjini au uanzia Misungwi, Usagara Nyegezi hadi mjini au utokee airport hadi mjini Kweli hakuna sehemu ingine wanaweza kujenga hiyo Hotel na shopping Malls?

Hawa ndio watanzania. Kweli tumekwisha na siasa imeharibu kila kitu.
 
Kweli kabisa BowBow,
Kwanini iwe Nyamagana tu?... sehem nyingine zitaendelezwa lini?... Waipeleke Busagara/Usagara ili wakazi wawe wanaenda kushop huko, pia kutawezesha barabara kujengwa, kutapatia ajira watu wa maeneo hayo na itakuwa bado ni karibu na Mwanza mjini... mji upanuliwe siyo kufinyangwa tena..

Viongozi wengina bwana... noma kweli kweli, wakijenga hapo sehemu za michezo wakati population inazidi kuongezeka zitatoka wapi?...

SteveD.
 
BowBow:
Hawa madiwani ni wavivu wa kufikiri hawa. Nikitu gani kinachowafanya wafikiri kuwa hotel kuwa hapo Nyamagana tu ndio itapendeza.
Kuna sehemu nyingi tu nzuri nzuri katika mwambao wa ziwa ambazo hoel za maana zingweza kujengwa, tena kwa wingi tu.
Sehemu hiyo ya Nyamagana ingefaa wapatengeneze papendeze, paendelee kuwa sehemu ya michezo na mikusanyiko ya watu, kama maonyesho na tamsha hivi. Itakuwa ni sehemu ya wazi peke yake ya maana katikati ya mji.
 
Ni kweli kabisa Nyamagana ni eneo pekee la wazi mjini Mwanza. Lakini kwa maoni yangu kama hawawezi kupatengeneza na kupafanya pawe na bustani nzuri na yenye hadhi ni bora ijengwe hotel ya 5 stars. Kwa hali ilivyo sasa hapafai kabisa kubaki hivyo. Siku zote walikuwa wapi kupaendeleza hadi mwekezaji anapotokea ndio waanze kelele?
 
Ndiyo kusema mpaka leo hakuna city planners mpaka madiwani waplan.Maana hawa planners lazima wameshaandaa maeneo kulingana na matumizi.Au hilo eneo ndiyo limevumbuliwa sasa.This is unbelievable.Either I am not sure of Dar or Ar if they real have and effectively utilize city planners.
 
Nurujamii, Kwanini huyo mwekezaji asifikirie kujenga pahala pengine au basi kupaendeleza hapo hapo kama bustani badala yake anakuja na mawazo ya kuweka hotel... kwangu mimi, ni bora pabakie kichaka hata kwa miaka kumi na tano ili mradi tu pawe sehemu ya wazi kuliko kujenga hoteli ambayo baada ya miaka saba, wakazi wanakosa hata sehemu ya kwenda kunyooshea miguu. Je akijitokeza mwekezaji anayetaka kupaendeleza pahali hapo kama bustani baada ya miaka 15 itabidi abomoe hiyo hotel? au wananchi itabidi wakonyoshee miguu yao kilomita 15 nje ya mji ambako bustani ndiyo itaweza kupata pahala pa kujengeka?... lets not think in short terms pls. thanks.

SteveD.
 
Two ministers differ over proposed hotel project

Two senior Cabinet ministers have given conflicting statements on the controversial $20 million (Sh24 billion) hotel project at the site of the historical Nyamagana Stadium in Mwanza.

While Lands, Housing and Human Settlements minister John Magufuli told The Citizen yesterday that he had never consented to the stadium being used for purposes other than those it was intended for, his Regional Administration and Local Governments colleague, Mr Mizengo Pinda, said he had no objection to the decision to build a five-star hotel and shopping mall at the site.

Said Mr Magufuli: "I haven't done anything...just ask Mwanza City Council to give you more details on what is happening there.

"Don't force me to say something I don't like to say...I don't like to discuss the issue."

In September last year, Mr Magufuli blocked the Mwanza City Council from selling the stadium to a local investor, describing the plan as ill-conceived, and aimed at grabbing public land under the guise of investment. He said the stadium would be demolished only over his dead body.

Mr Magufuli said he would rather have the stadium serve as a museum, training ground for members of the People's Militia (mgambo) or business site for small-scale traders.

He reminded Mwanza City authorities that the stadium was a historical site where many people were killed during the colonial era.

Bodies recovered from the sunken MV Bukoba were also taken to the stadium for identification in 1995. About 1,000 people died in the tragedy.

Contacted for comment, Mr Pinda said, "Those who opposing the development of Nyamagana have no concrete grounds for doing so. The football stadium can be relocated anywhere in Mwanza City.

"I understand the concerns of Mr Magufuli, but I think Mwanza City Council is right...there isn't any wrongdoing here," he told The Citizen by telephone yesterday.

He said if the tendering procedure was followed as required by law, then Mwanza City Council should proceed with their plan to find a strategic investor who would build a five-star hotel and shopping mall on the two-acre plot.

Mr Pinda said the stadium was at the heart of Mwanza's central business district, adding that it was time its use changed to speed up development in the lakeside town.

Mwanza City Council last week gave the go-ahead for the construction of a multibillion-shilling hotel amid stiff opposition from the public.

The Citizen has established that city authorities have begun demolishing the stadium amid tight security after the project drew mixed reaction.

Mwanza City director Wilson Kabwe said the council was demolishing dilapidated parts of the stadium to avert accidents that could harm people who had flouted the council's ban on conducting business and other activities at the venue.

But reliable sources within the council said the stadium was being demolished to pave the way for a successful bidder.

"The Government has suddenly changed its mind and has decided that a private developer take over the stadium," one of the sources said on condition of anonymity.

The majority of councillors said during their last meeting?that pupils and students from seven learning institutions in the centre of Mwanza would be severely affected by the decision to change the purpose of the stadium, let alone to privatise it.

But Mayor Leonard Bihondo allayed the councillors' fears, saying the stadium could not be offered to a private investor in the near future because a lot of groundwork was yet to be done.

The groundwork in question included surveying of the stadium and provision of a title deed, said Mr Bihondo. ?

Attempts to offer the stadium to private investors have failed several times following an outcry by various stakeholders, who maintain that he stadium should never be developed for purposes other than sports and recreational activities.

Most MPs in Mwanza Region are also opposed to plans to demolish the stadium and build a five-star hotel.

However, some legislators have asked the regional consultative committee to consider changing the use of the stadium despite Mr Magufuli's opposition.

Sumve MP Richard Ndassa said Mr Magufuli was misguided as the RCC meeting had the final say on the fate of the stadium.

The stadium should not continue to be used solely for sports while Mwanza Region was in dire need of hotels, he said.

"Some Great Lakes Region conferences were supposed to be held here, but Mwanza could not host the meetings owing to lack of hotels. It is a shame for any Tanzanian to suggest that such conferences be held in the city," Mr Ndassa said.

But Mr Ndassa's remarks were strongly opposed by Nyamagana District Commissioner Peter Madaha.

"Hotels do not necessarily have to be situated in city centres. We have to think of allocating plots for big hotels in areas surrounding the city, including Misungwi," he said.

Col Madaha said during the RCC meeting held before the end of last year that the minister's consent was inevitable in the city's plans to develop land because he was the one who issued building permits.

Ukerewe MP Gertrude Mongella also strongly opposed the idea of turning Nyamagana Stadium into a five-star hotel, saying that a reliable investor should be given suitable land along the Lake Victoria shores to build a posh hotel.

"Stadium development and attraction of investors to fast-track development of the city are two separate things," she said.

With hardly two acres of space, Nyamagana could not accommodate good investment ideas, Ms Mongella said.

The National Social Security Fund (NSSF) was the first to apply for an opportunity to develop the stadium earlier this year, but lost out to a businessman of Indian decent.

In August, last year, Information, Culture and Deputy Sports minister Joel Bendera wrote a strongly worded letter to Mwanza Regional Commissioner James Msekela, asking him to ensure that no project was allowed at Nyamagana Stadium as proposed by the city council.

The letter dated August 22, read in part: "Any plans to change the original use of the stadium should be revoked immediately because the stadium is one of the most important historical symbols of Mwanza City and the nation as well."

The Mwanza City Council had earlier proposed that a multibillion-shilling hotel and recreational centre be built at the Nyamagana Stadium site in a joint venture in which the Government and a strategic investor were to own 55 and 45 per cent shares, respectively.

Hawa mabwana watapate building permit kama madiwani wengi wanapinga development? Maombi ya kibali cha ujenzi yanapitiwa kwanza na wataalamu husika, kuhakikisha kuwa development inayotarajiwa haipingani na master plan ya mji, usalama wa jengo (structure, moto, mazingira) halafu wanapeleka kwenye kikao cha madiwani kwa baraka zao. Ninavyoelewa mimi hakuna mtu (si waziri, meya, dc n.k) anayeweza kutoa kibali cha ujenzi bila kupitia hatua hizi. Ingawa nakubaliana na Mheshimiwa Maghufuli kwenye hili mimi nadhani kuna haja ya kuhakikisha kuwa taratibu zote zilifuatwa. Kibali kikitolewa wananchi wana haki ya kuappeal kwa waziri husika ili asimamishe maendelezi. Sina uhakika lakini nadhani hapa waziri husika atakuwa Mh. Maghufuli kwa maana yeye ndiye mwenye mamlaka juu ya masterplan. Ushauri wangu ni kuwa yeye angewaambia wanachi ( kichinichini) wampelekee petition kupinga maendelezi haya ndipo ashughulikie. Hatua nyingine ni kumuomba Mkurugenzi wa Mambo ya Kale aiweke Nyamagana katika orodha ya majengo yanalindwa kutokana na sababu za kihistoria.
Haya mambo kutoleana ubabe hadharani hayasaidii kitu.
 
Ndiyo kusema mpaka leo hakuna city planners mpaka madiwani waplan.Maana hawa planners lazima wameshaandaa maeneo kulingana na matumizi.Au hilo eneo ndiyo limevumbuliwa sasa.This is unbelievable.Either I am not sure of Dar or Ar if they real have and effectively utilize city planners.

Hiki ndicho ninacholalamikia kila siku. Technocrats wamekubali kufunikwa na wanasiasa. Utakuta hao Planners wapo lakini hakuna aliye tayari kutoa professional opinion inayopingana na meya, Dc au waziri wake!
 
Hata kama wapo, je, wakitoa ushauri wa kitaalam kuna mtu anawasikiliza hoja zao? Unajua ukiona wataalam wanakaa kimya hapo kuna dalili kwamba wameishajiona kwamba hawafai kwa kuwa ushauri wanaoutoa huwa hausikilizwi. Ogopa "rupia", palipo na kadhia penyeza rupia uone kama kuna kitu kinakwama.

Viongozi wakishapewa rushwa akili yote inahama kutoka kichwani inaenda tumboni, hapo anafikiria namna atakavyojinenepesha yeye mwenyewe bila kujali madhara ya kupokea hiyo rushwa kwa jamii na Taifa zima kwa ujumla.
 
Stadium plot set for five star hotel

It is now official that Nyamagana Stadium is up for grabs. Mwanza City Council Director Wilson Kabwe confirmed yesterday that the city authority intends to give the stadium to a private investor to build an up-market tourist hotel.

But as the city authorities proceed with efforts to attract a strategic investor in a deal estimated at $20 million (Sh24 billion), the majority of Mwanza city residents are opposed to the move.

However, it was not clear why Mwanza City Council has rushed to demolish the historical stadium, while the land use revocation notice is yet to be issued by the Lands, Housing and Human Settlements Development minister John Magufuli.

Mr Kabwe told The Citizen yesterday that he envisages floating tenders for expression of interest aimed at obtaining a competent investor to redevelop the land now occupied by the dilapidated stadium in the near future.

The city director said the winner of an earlier tender to develop the stadium area, Mansoor Industries, failed to accomplish some key conditions, forcing the authority to revoke the offer. Mr Kabwe said he was just waiting for Mr Magufuli to approve his authority's application for changing the use of the stadium plot.

"You understood the minister wrongly," the director reacted to queries on the minister's position, saying Mr Magufuli does not oppose redevelopment of the stadium plot. "The minister said he could not comment on a proposal he had not seen," he said, contradicting a story carried by The Citizen yesterday. "We are looking for a serious investor who will build an up-market or five star hotel at the plot." The state-of-the-art hotel should accommodate a sports complex for indoor games, he further noted.

A director of the petroleum firm which won the earlier tender said he was not informed of the city council's decision to float the tender afresh. "What I know is that we won the tender, and to this day no other communication has been made to us," Mr Atlaf Mansour said. He said he understood that the tender board was responsible for making such decisions, not the city council. "A tender is not withdrawn in such a manner.

In case it is true, we will have to meet with the board before charting out our course of action," he said. Nyamagana ward councillor Biku Kotecha said he had no objection to changing the use of the plot "provided the pitch remained part of the new structure for pupils and other children living in his ward to play".

Mr Kotecha said the CCM Kirumba Stadium being a commercial complex was not accessible to children and members of the public at will. "Why should we have all posh hotels clustered at the city centre while the city is expanding," he queried.

Mr Kelvin Baitwa, a sports stakeholder, said he was shocked to hear that Nyamagana was up for grabs as it was the only stadium his team used for football training. "They should actually upgrade it instead of changing its use," he suggested, insisting that Nyamagana District would have no other stadium for its residents as it lacked space.

Memories still linger about Dr John Thoburn Williamson, an architect at Williamson Diamonds Limited (WDL), who designed the stadium after the Second World War for residents whose ancestors perished at the site.

In September last year, Mr Magufuli blocked the Mwanza City Council from selling the stadium plot to a local investor, describing the plan as ill-conceived and aimed at grabbing public land under the guise of investment.

He said the stadium would be demolished "over his dead body," but that seems to be a lot of time ago. Mr Magufuli said he would rather have the stadium serve as a museum, training ground for members of the People's Militia (mgambo) or a business site for small-scale traders.

He reminded Mwanza City authorities that the stadium was a historical site where many people were killed during the colonial era. Bodies recovered from the sunken MV Bukoba were also taken to the stadium for identification in 1995, after about 1,000 people died in the tragedy.

Mr Mizengo Pinda, the Minister of State for Regional Administration and Local Governments, said that those who opposed the development of Nyamagana have no concrete grounds for doing so. "The football stadium can be relocated anywhere in Mwanza City if there is need for another stadium," he said on Monday.
 
Haya, Bwana Mansour ( si ndiye huyu aliyevunjiwa petrol sation)anaenda mahakamani ambao watazuia chochote kuendelea hadi issue iwe resolved. Yale yale ya kila siku. Huu mradi una kaharufu toka mwanzo! Hivi serious investor gani atakubali majority ownership iwe kwa serikali? Yaani maamuzi yote kuhusu mradi yaamuliwe na serikali? Mmesikia wapi "mall" imembatanishwa na 5-star Hotel? Haya ndiyo mambo ya kujenga hoteli karibu na soko la Magomeni na kuiita ya kimataifa! Upuuzi mtupu. Naamini kabisa hata hao wanaoshupalia mradi huu ukiwauliza mahitaji ya 5-star hotel ni yapi hawayajui. Wazee wenzangu mtakumbuka yaliyowapata Pazi na kiwanja chao? Wao wametupwa makaburini na wenye nazo wanaendelea kupeta. Hii kusema kuwa patakuwa na uwanja wa ndani wa michezo ni danganya tot. Nani atakubali atupe mabilioni halafu aone 'vibaka' wanajazana katika eneo lake? Hata maneno yanaotumiwa ni dhahiri hawajui wanachokizungumzia, state of the art hotel, my foot!!!!! Kama kawaida tuko myopic, tunaangalia return za haraka haraka badala ya kuangalia the big picture. Miji yote mikubwa inahitaji public space ambayo kila mtu anauwezo wa kutumia. Sasa tukiprivatise public space zote, wanyonge waende wapi? Wao ndio wapande mabasi kwenda kucheza chandimu? Kama walivyosema wengine, hao wenye nazo waende huko ambako wataweza kujidai bila kubughudhiwa. Tuwaige wenzetu Nairobi na Safari Park Hotel. Na kama mheshimiwa anapinga huu mradi, akatae kubadilisha matumizi ya eneo.
 
Ukianza dhambi ya kubinafsisha ni kama kula nyama ya mtu. Utabinafsha kila kitu hata lako. Hivi huyu waziri ni mzima kweli kichwani au ana walakini. Yaani uwanja wa wananchi uvunjwe ijengwe hoteli kwa ajili ya mafisadi wachache na yeye anaona sawa. Hivi na ndugu zangu wa Mwanza mmeshindwa hata kufanya maandamano kuwaonyesha hao mafisadi kuwa hamridhiki na maamuzi yao?
 
labda ni maamuzi ya cabinet. miniserial responsibiliy; si tulisema kuwa maghufuli anatakiwa kukubaliana na maamuzi ya wenzao, na tukafikia hata hatua ya kumwambia eti ajiuzuru sababu karopoka. sasa kama mtu kasimama kutetea maendeleo ya watu na tukamwona an enemy of the people, itakuwaje pale utakapopatwa wewe na akutetee. inawezekana kaamua kukaa kimya baada ya magazeti kumuundika vibaya kana kwamba hakuna jema katika usemi wake pale Chalinze mbele ya rais. kweli watu tutaendelea tukiwa na uwezo wa kutafakari kwa kina na kugundua adui tuliye naye ni nani.

sikufikiri kama mtu angeweza kutetea uzembe wa mawaziri na leo tukaanza kulaumu wale walioamua kukaa kimya kwa kuona watu wamewakacha.
 
Mimi ninachopinga ni kwa mawaziri kutumia majukwaa ya siasa kutoa maamuzi, kulumbana n.k. Akifanya hivyo kama mbunge na sio kama waziri sina tatizo nalo. Naamini kuwa waziri kama mmoja wa chombo cha juu kabisa cha taifa, kabineti, anaposimama kwenye jukwaa na kulalamika kuwa kuna watu wanamzuia yeye kutimiza wajibu wake inatukatisha tamaa sisi walalahoi. Suali la rahisi ni kuwa wananchi tukishaambiwa hivyo tufanye nini? Mbunge akifanya hivyo, tunaweza kumuomba atuongoze kwenye maandamano ya kupinga jambo hilo na mapambano ya kulipinga hadi hatima yake itakapojulikana. Waziri hawezi kufanya hivyo. Mimi naamini njia bora zaidi ni kumlalamikia kiongozi wao wote wanapokutana wenyewe na inaposhindikana ni kujitoa na kulalamika ukiwa nje ya kabineti! Sasa kwenye hili la Nyamagana. Mwenye mamlaka ya kubadilisha matumizi ya lile eneo ndiye huyo anayelalamika hadharani! Kwa nini badala ya kutoa vitisho vyote hivi (kama ni kweli alivitoa) asingojee ombi lije mezani kwake na kwa kutumia mamlaka aliyo nayo kisheria kuzuia hili jambo asilokubaliana nalo? Mimi naamini akifanya hivyo itakuwa more effective kuliko huku kulumbana hadharani. Na wote tutampongeza kwa kuwa atakuwa amefanya kweli.
 
you might be wrong, sababu hata waziri ni mbunge. pia angalia sehemu za wenzetu kama Israel, msimamo wa waziri unakuwa wazi kabisa. angalia kenya ilivyo, maamuzi yalivyokuwa mpaka bungeni waziri flani anapinga waziwazi. na pale kilichofanyika hakikufanyika kwenye mkutano wa siasa@a politica meeting' bali ilikuwa kwenye mkutano wa kimaendeleo'an economic gathering' sioni mantiki kumfanya waziri akae kimya eti sababu yeye ni waziri. kwenye sheria kuna sheria nyingi sana na mwanasheria mzuri ni yule anayeangalia kila sheria na exception yake. ndiyo maana kuua ni kosa ila kuna wakati kuua muuaji anaachiwa kutokana na mazingira au hizo exceptions. sasa ndugu yangu hata collective responsibility, au ministerial responsibility inakuwa na exceptions.

sasa kama alipigiwa simu yeye kama msemaji mkuu hukutaka atoe msimamo wa wizara. na je ulijua aliyekuwa anaminterview alikuwa anampa maswali gani. au hatutaki kusikia kauli ya mtu flani, waziri, akitoa mwongozo juu ya jambo linalowahusu wananchi?
 
Samahani Mkuu Mshobozi lakini mifano unayoitoa ni ya nchi zinazoongozwa na coalition governments.Hawa toka awali inajulikana kuwa ni marriage of convenience na waliomo hawaakubaliana katika sera zote za serikali. Mfano mzuri ni serikali ya Leba chini ya Tony Blair. Mawaziri waliopinga sera au maamuzi yake ( Clare Short na wengine), walijitoa na kuendelea kui'criticise' serikali wakiwa nje. Mbunge ukishakubali kuwemo katika "single party majority government" unajiondoa uwezo wa kuikosoa hadharani. In for a pound etc. etc. Hakusaidii serikali yeyote uendelea na malumbano hadharani. Haya yanatakiwa yashughulikiwe behind closed doors. Ingawa kama wana jamii tunafurahia haya yakifanyika hadharani lakini kiutendaji kina athari zake. Kwenye hili,uwezo ya kulimaliza suala kiutendaji upo. Ya nini malumbano? Tatizo ni kuwa ukiwa kiongozi there is a thin line kati ya mawazo binafsi na yale ya msimamo wa wizara. Nilishasema toka mwanzo, kwenye hili namuunga mkono Mheshimiwa Maghufuli lakini naamini angekuwa effective zaidi kama angetupilia nje maombi ya kubali matumizi bila kukubali kuingia kwenye haya "malumbano". Kuna neno, 'no comment'. Au angeita press conference na kutoa uamuzi wake kama waziri mhusika. Au pengine waandishi wa habari wanamchezea faulu kumfanya aonekane mtu wa shari? Inawezekana.
 
Nimesoma tena nyuzi hii kwa undani zaidi na ninaona kuna uwezekano kuwa sikuwatendea haki waheshimiwa mawaziri maana walikuwa wanajibu maswali ya waandishi wa habari na si vinginevyo. Samahani sana. Lakini swali langu la msingi liko pale pale , hao Planners wako wapi?
 
Hata kama wapo, je, wakitoa ushauri wa kitaalam kuna mtu anawasikiliza hoja zao? Unajua ukiona wataalam wanakaa kimya hapo kuna dalili kwamba wameishajiona kwamba hawafai kwa kuwa ushauri wanaoutoa huwa hausikilizwi. Ogopa "rupia", palipo na kadhia penyeza rupia uone kama kuna kitu kinakwama.Viongozi wakishapewa rushwa akili yote inahama kutoka kichwani inaenda tumboni, hapo anafikiria namna atakavyojinenepesha yeye mwenyewe bila kujali madhara ya kupokea hiyo rushwa kwa jamii na Taifa zima kwa ujumla.

Ukiona mawaziri wawili wanapingana basi ujue "DEAL" kati yao limekuwa Dirisha. [/COLOR
 
Back
Top Bottom