SAKATA LA UMEYA DAR: Halima Mdee na Mwita Waitara wafikishwa mahakamani

Kaplizer

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
719
582
Wamefikishwa mahakamani Kisutu jijini Dar kwa kosa la kujeruhi mwili.. mwenye info makosa yao pls atujuze zaidi...

Source:ITV
 
Wabunge wa CHADEMA; Halima Mdee (Kawe) na Mwita Waitara (Ukonga) na makada wengine watatu wafikishwa Korti ya Kisutu leo kwa kosa la kujeruhi mwili.
 
Mdee angemjeruhi hata ubongo.. ila kosa la kufoji hati ya mahakama limebadilishwa kiaina..noma sana.
 
Ni kutaka kuisumbua tu mahakama, Watawala wafahamu mahaka ya kisutu ina mashauri mengi hayajawahi hata kusikilizwa na mengine yanahitaji hukumu.

Naongeza kesi zisizo kuwa na kichwa wala miguu.

Kama mtu anaedaiwa kujeruhiwa ni mzima,

kuna kesi ama usumbufu tupu?
 
IMG-20160302-WA0089.jpg
 
Ni bora wafikishwe mahakamani kuliko walivyokuwa wakiendelea kuwashikilia polisi kunakoelezwa kuna usalama ilihali kila kila mmto anafahamu ni kinyume chake.

Ni vizuri wafiishwe mahakamani ambako huko tutakwenda kusikia mambo mengi ikiwa ni pamoja na nani aliyewasilisha pingaizi la mahakama, uhalali wake na kama msimamizi wa uchaguzi alikuwa sahihi kuahirisha uchaguzi husika.

Ni vizuri wafikishwe mahakamani ili huyo RAS aeleze chanzo cha yeye kushmbuliwa, nani alimshambulia na kwa kutumia aina gani ya shambulio ( Kichwa, teke, ngumi, kufinya n.k)

Ni vizuri wafikishwe mahakamani kwa kuwa polisi na wale wenzao wamebaini kuwa watanzania wmekwisha baini ujaja wao wa kuwakamata wapiga kura na baadaye kuitisha uchaguzi huku idadi ya wapiga kura kwa upande fulani ikiwa imepunguzwa kwa kuwekwa kwao rumande.
 
Sasa kosa la kujeruhi lina husiana nini na upekuzi nyumbani kwa hawa wabunge?? Kamanda Siro asipo angalia atapoteza sifa ambazo alisha jiwekea hapo nyuma.
 
Demokrasia inagaragazwa hadharani,CCM imefikia tamati,kinachofanyika hivi sasa ni aibu kubwa sana.Ni dhahiri kuwa haihitaji kuwa na shahada ama fedha za kigeni kufahamu kuwa CCM inapumulia mirija.
 
Back
Top Bottom