NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
lets keep our fingures crossed ... iwe kesho ki kweli kweli ... they have our support and prayers ... maana watu wanataabika sana
lets Keep Our Fingures Crossed ... Iwe Kesho Ki Kweli Kweli ... They Have Our Support And Prayers ... Maana Watu Wanataabika Sana
Umeme Umerudi 12:00pm Eat (source: Radio Mbao)
Ni watupu ndio coz hayo madata yote ni kwenye makaratasi tu, kwenye reality hamna lolote, na wananchi wanajua hilo.
Utakingia kifua sana mwaka huu. ila kumbuka la kuvunda.......
Wasalimie kisonge.
Ni maneno muafaka kwa Wazenj... Natumai serikali na wananchi wake wamejifunza mengi kutokana na hili...Poleni na hongereni. Fundisho kubwa kwa Visiwani watafute vyanzo vingine vya umeme kama vile wa nguvu ya jua na upepo hii ya kusubilia wire kutoka bara si njema sana, yaani hata kama kuna mgongano ama kutofautiana ni rahisi kufanyiwa sabotage
Visiwa vya Zanzibar ambavyo vimekuwa katika giza kwa karibu mwezi mzima vinatarajiwa kupata umeme wa gridi ya Taifa kesho. Vyanzo vya Tanesco vimewaasa wananchi wa Zanzibar kuzima vyombo vyao vya umeme ili visije kuunguzwa na nguvu ya umeme utakaporudi. Muda na saa havijulikani.
"Kesheni Mkiomba maana hamjui saa wala Dakika"
Ni maneno muafaka kwa Wazenj... Natumai serikali na wananchi wake wamejifunza mengi kutokana na hili...
Ule mradi wa kuzalisha umeme toka jaa kuu la Jumbi unafaa kutazamwa upya.
Naona leo umekereka kwa umeme kurudi Zenj... kwa kuwa umezoea umeme wa mgao nakushauri jioni ya leo panda meli na uende ChakechakeKwani nani aliwaambia kama hakuna umeme Zanzibar ,mlikuwa mnaota nini?
Yaani mkipiga makelele hamjui kitu ninavyofahamu mimi umeme ulikuwepo Zanzibar ila ulizimwa na sasa wameuwasha ila sehemu zile wanazoishi jamii ya watu kutoka pemba bado hawajawashiwa.
Thnx kwa ujumbe kibunango. Huyo Dk wao hamna kitu mkuu na ndio maana ameshindwa kudeliver, nia hana na uwezo pia haupo.
amani ni kama maria antoinette mke wa king Napoleone Bonaparte wa ufaransa
I must say Karume kept his word.
Thumbs up to the Engineers that worked tirelessly to restore modern civilization on the Isles!
Bonge la contradiction!
Unaona kwa nini Watawala wetu wanashinda kila siku na CCM inaendelea bure "kushika Utamu'?
Karume kaambiwa na mafundi kazi itakamilika siku wa kadhaa, halafu yeye kaja kututangazia sisi. Iweje apewe yeye credit ya uaminifu?
Na unaona kabisa - na Insurgent umesema mwenyewe - ni mafundi ndio walifanya kazi madhubuti kurudisha umeme!
Unaona tatizo letu hapo?
Kwani nani aliwaambia kama hakuna umeme Zanzibar ,mlikuwa mnaota nini?
Yaani mkipiga makelele hamjui kitu ninavyofahamu mimi umeme ulikuwepo Zanzibar ila ulizimwa na sasa wameuwasha ila sehemu zile wanazoishi jamii ya watu kutoka pemba bado hawajawashiwa.