Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Ngekewa,
Unatumia nguvu sana kusaidia UNUNUZI wa mitambo ya Dowans. Kama uko gizani basi pole sana. Ila naona utakuwa USA maana mchana mzima kwa masaa ya huku Tz, mwenzetu ulikuwa umelalana sasa ndiyo umeamka na kuanza kufokafoka kama 50 Cents.
Hiyo mitambo ya Dowans mnaweza wewe na maboss wako RA na EL mkaingiza sehemu husika maana sisi TUMESHABANA na hatuachii. Habari ndiyo hiyo. Uchaguzi mwakani, sidhani kama Kikwete atathubutu KUJIPANDISHA msalabani. Tumeshaamka na TUMEVAA chupi za chuma, Gongagonga hawapati kitu.
Nakubaliana na wee kitu kimoja, MITAMBO ya DOWANS ni ya KUFILISI na si kununua.
Ngoja nizime Generaotor maana majirani watalalamika kuwa nimewasha usiku mzima. Na upepo sasa hivi si mkubwa, mapangaboy hayazunguki sana na hapo umeme unasuasua. Ngekewa, msalimie sana EL na RA pia mjomba Rashid.