Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

My Opinion, Tanzania tuna tatizo kubwa la managing Diversity, and especially the political Diversity!.

Kunapotokea kutoelewana kwa watendaji based on principles, kwangu dawa sio kuwatimua, bali kuwasuluhisha, na ikikutikana hawapikiki chungu kimoja, unawapangua!. To me sio vyema kuwaadhibu viongozi vijana ambao ni performers kama Gambo, Makonda, Hapi, Mnyeti etc, hata kama wanavimba vichwa kwa masikio kutaka kuzidi kichwa!.

Gambo ndio alikuwa kiboko ya Lema, japo pia nilizungumzia ile kesi ya Lema kunyimwa dhamana kulikopelekea Mchagga kushindwa kwenda kuhoji, na kulia Christmas mahabusu, kama Gambo, ana mkono, then hii ni sehemu tuu ya malipo ya karma ya Lema kwa Gambo!.
Hivyo kutumbuliwa huku kwa Mrisho Gambo inawezekana Lema ni mtu powerful wa ukweli, hivyo anaweza akalitwaa tena jimbo la Arusha!,
Ila pia kama ni kweli Lema is this powerful, and we are not sure what is the source of his powers, ikitokea ni nguvu za shetani, then tuzidishe maombi kwa Mungu Baba ili ile ndoto yake ya kishetani isije kutimia!. Mungu yupo, na shetani pia yupo!.
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Acha kubadilisha gia angani ww Pascali njaa.
 
We naye huna lolote, tulishakuweka Kapuni baada ya kumumuza Kabendera. Siku tizi unajipendekeza tu kwa watawala.
Duh...wajameni, kwenye hili mmenikamia sana, nimeishakubali kosa kitambo kuwa nilichemsha, na mimi sio malaika kusema siwezi kukosea, mimi ni binadamu tu kama binaadam wengine wote hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, nilikosea na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia wiki njema
Paskali
 
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

My Opinion, Tanzania tuna tatizo kubwa la managing Diversity, and especially the political Diversity!.

Kunapotokea kutoelewana kwa watendaji based on principles, kwangu dawa sio kuwatimua, bali kuwasuluhisha, na ikikutikana hawapikiki chungu kimoja, unawapangua!. To me sio vyema kuwaadhibu viongozi vijana ambao ni performers kama Gambo, Makonda, Hapi, Mnyeti etc, hata kama wanavimba vichwa kwa masikio kutaka kuzidi kichwa!.

Gambo ndio alikuwa kiboko ya Lema, japo pia nilizungumzia ile kesi ya Lema kunyimwa dhamana kulikopelekea Mchagga kushindwa kwenda kuhoji, na kulia Christmas mahabusu, kama Gambo, ana mkono, then hii ni sehemu tuu ya malipo ya karma ya Lema kwa Gambo!.
Hivyo kutumbuliwa huku kwa Mrisho Gambo inawezekana Lema ni mtu powerful wa ukweli, hivyo anaweza akalitwaa tena jimbo la Arusha!,
Ila pia kama ni kweli Lema is this powerful, and we are not sure what is the source of his powers, ikitokea ni nguvu za shetani, then tuzidishe maombi kwa Mungu Baba ili ile ndoto yake ya kishetani isije kutimia!. Mungu yupo, na shetani pia yupo!.
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Duh......
 
Hii habari imeletwa kiushabiki tuu, hakuna bifu yoyote, nimeisikiliza hiyo clip, hakuna bifu bali kuna kukumbushana tuu the chain of command.

RC ndie rais wa mkoa!, kila kitu kiko chini yake, hivyo RC yuko right, yeye ndiye mwenye kauli ya mwisho kuhusu jambo lolote la mkoa wake.
P
Unasema?
 
What if kauli yake ya mwisho haiko sawa? Ifuatwe tu kwa vile hairuhusiwi kumpinga?
Mkuu Tanimo, kwanza asante kunikumbushia post hii, nimekubali makosa, nilikosea, nilichemsha, na ninaomba msamaha mnisamehe,, na mimi ni binadamu tu kama binadamu wengine wote, sio malaika, sisi ni viumbe dhaifu hivyo kukosa, ni kawaida, na kwenye hili la Gambo la kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe sana na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali
 
Duh...wajameni, nimekubali, nilichemsha, nilikosea, na mimi ni binadamu tuu na sio malaika, hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali
Hahaha...watu wanamambo hawa, duh!
 
Only a fool is always right.
Mkuu Mfiaukweli, kwanza asante kunikumbushia post hii, nimekubali makosa, nilikosea, nilichemsha, na ninaomba msamaha mnisamehe,, na mimi ni binadamu tuu kama binadamu wengine wote, sio malaika, sisi ni viumbe dhaifu hivyo kukosa, ni kawaida, na kwenye hili la Gambo la kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe sana na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali
 
Ugomvi, chuki na uhasama baina ya mkuu wa mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo na mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dkt Madeni unazidi kuchukua sura mpya baada ya Gambo kumwambia kwamba usemaji wake una mipaka na kumwonya awe makini.

Wawili Hawa wana Hali ya kutoelewana huku chanzo kikidaiwa ni kugombea mradi wa ujenzi wa kituo kikuu Cha mabasi ya mikoani jijini Arusha...
Kimeshanuka. Mkuu kastuka kuingia na mbwa msikitini.
 
Kwa ufinyu wa akili yako na wewe ni MNAFIKI mwingine unayemtetea MNAFIKI mwenzio. Mie sijui KUREMBA I called a SPADE by its REAL NAME unlike you MNAFIKI unayependa kuficha UOZO under the carpet.

Kwa hivyo ndio unamtukana. Hapo umetuonyesha utoto na ujinga wako.

Haya kachukue pipi ujacheze uwani, na usijikojolee
 
Mkuu Mfiaukweli, kwanza asante kunikumbushia post hii, nimekubali makosa, nilikosea, nilichemsha, na ninaomba msamaha mnisamehe,, na mimi ni binadamu tuu kama binadamu wengine wote, sio malaika, sisi ni viumbe dhaifu hivyo kukosa, ni kawaida, na kwenye hili la Gambo la kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe sana na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali
Nilikuwa sijaona comment hii, samahani kwa kuendelea kukuattack kumbe umeshaomba samahani.
 
Huku kuingia katika Mizozo mara kwa mara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Watendaji wake Waandamizi hapo Mkoani Arusha kutarahisisha Kazi ya Msemaji wa Ikulu Msigwa ya kupewa Tangazo la Utenguliwaji na Uteuzi wa Mtu muda si mrefu. Nimwombe tu Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe makini mno tena Kipindi hiki kwani Kuviziwa Kwake Kuondolewa hapo kunakochochewa na Maadui zake ndani ya Mkoa na Chama hakujaanza leo.
Yametimia

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom