Sakata La Tembo: Shehena ya Pili Yakamatwa Hong-Kong Toka Tanzania

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Shehena iliyobeba meno ya tembo na faru inayosadikiwa kutoka Tanzania imekamatwa Hong-kong kwa mara ya pili. Hii ya pili kwa bahati mbaya haikutangazwa kwenye vyombo vya habari. Tanzania, serikali ya CCM ijiuzulu



Source AP:
Officials in Hong Kong have made a second major ivory bust in less than a month, reports the Associated Press. Customs agents at Hong Kong's port on Thursday discovered 1.33 tons of ivory tusks hidden among some 400 bags of sunflower seeds in a shipping container. The street value of the contraband is estimated at $1.4 million, but not arrests have been made. The shipment originated in Tanzania.

The seizure comes just two weeks after customs officers in Hong Kong discovered almost 4 tons of ivory representing 600 poached elephants in two containers. The ivory was hidden among plastic scrap and beans, according to the AP. Elephant poaching in Africa has surged in recent years due to rising demand in Vietnam and China. Ivory is often turned into religious trinkets.

 
hapo ikulu mawasiliano haitatoa tamko wala taarifa kwa wananchi!kimya......
 
...mwenyemali si umeona yupo mbugani, kama kamisaa wa pambano la vibarua wanaofukuza twiga na kuwakamata na wale wanaoua tembo na kupakia meno !! Anaonekana hana furaha sana inaelekea alishapata taarifa kuwa kimenuka tena huko uchina ..!!!
 
Tanzania yetu baada ya miaka 50 sijui itakuwaje kama wakiendelea kubaki hawa akina Kinana.
 
Vinana at work!I pity the Tanzanian Elephants......Ndio Mnaisha hivi hivi......
 
naona baada ya hili suala kunuka,serikali imesitisha kuomba kibali cha kuuza meno ya tembo japan na uchina. tukiamua kweli tunaweza.
 
Mnahangaika na Kinana ambao ni washika kibendera tu wakati hizo ni biashara za PAKULU.
 
Back
Top Bottom