jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kwa kuwa uzalishaji wa Sukari kutoka viwanda vyetu vya ndani utaanza hivi karibuni ni vizuri viwanda vitoe Sukari kwa kuiweka kwenye mifuko mipya.
Hiiitasaidia kuwafuatilia walioficha Sukari kipindi hiki kwa kisingizo cha kutokuwa nayo...
Viwanda vyetu vikianza kuzalisha Sukari ...basi sukari nyingine yoyote itakayoonekana itajwe kuwa ni Sukari haramu....
Serikali itoe muda wa wiki kadhaa Sukari yote iliyoko maghalani iuzwe sasa au itangazwe ni Sukari haramu!!
TUTAKAA SAWA TU!