Sakata la Simba, Yanga na TFF Rais Samia Aheshimiwe

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,861
3,190
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
 
Ya
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni zaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na mazara yake nazani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni djaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio balaza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Yanga inafaa kucheza ndondo, hakuna team pale in full utopolo, team la zamani bado halijielewi.
 
Tunasubiria memo ya Gregson usiku huu ama kesho asubuhi
 
Asante saaana,hawa wapuuzi mitandaoni baada ya kuona nyota ya mama inangara sasa wameamua kuanzisha mijadala ya kupuuzi ili tu kumdhalalisha mama .Watanzani wote tuko nyuma ya mama kwa hali yoyote ile .
 
Kwanza, kisheria kuna doctrine ya Vicarious liability as long mtu wa chini yako kafanya makosa na wewe uliye ngazi ya juu unapaswa kuwajibika...

Huwa iko hivi
Qui facts per allium facit perse:“he who does something through another is deemed to do it himself”.

Wizara ipo chini ya Rais agizo la wizara ni agizo la Rais full stop
 
Kwanza,kisheria kuna doctrine ya Vicarious liability as long mtu wa chini yako kafanya makosa na wewe uliye ngazi ya juu unapaswa kuwajibika...
Huwa iko hivi
Qui facts per allium facit perse:“he who does something through another is deemed to do it himself”.
Wewe una uhakika gani kuwa Rais Samia kaagiza hilo litokee mana zipo sababu kuwa waganga timu fulani wamewashauri wateja wao mechi mpelekee mbele ili teku yao ishinde
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni zaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na mazara yake nazani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni djaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio balaza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Nashangaa kuna wapumbavu wachache wanaanza kumuweka rais kwenye mambo yasiyomhusu kabisa.

Hapa lawama apewe TFF...na yeye atajua wa kumlaumu.

Ila TFF walichofanya leo sio uungwana kabisa.
 
Nashangaa kuna wapumbavu wachache wanaanza kumuweka rais kwenye mambo yasiyomhusu kabisa.

Hapa lawama apewe TFF...na yy atajua wa kumlaumu.

Ila TFF walichofanya leo sio uungwana kabisa.
Pale wamejaa madalali ambao bila uchawa basi maisha yao hayaendi
 
Ukweli lazima usemwe potelea mbali tutaumizwa kwa kiwango gani but lazima ukweli uwekwe wazi.Hakuna mtu yeyote ambaye yupo juu ya sheria kwa katiba hii
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni zaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na mazara yake nazani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni djaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio balaza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
 
Kama hajaagiza yeye basi Waziri husika ndo anapaswa kufukuzwa sasa kukaa kimya kunaleta tafsiri gan kama sio yeye kaagiza..msimtete leo Bi mkubwa kademka basi
Kama umesoma vizuri hapo juu nimeandika Wizara ya Habari na Michezo ni moja ya Wizara inayohitaji marekebisho ya Waziri, Katibu na Baraza la Michezo hawa watu toka mwanzo wanaonesha ama hawako competent ama hawajui cha kufanya ana wanafanya kwa makusudi ili Rais aonekane Zaifu. Cha ajabu ni wizara nyepesi isiyo na mikiki mikiki kama wizara ya Ardhi, Nishati au Miundombinu
 
Wewe una uhakika gani kuwa Rais Samia kaagiza hilo litokee mana zipo sababu kuwa waganga timu fulani wamewashauri wateja wao mechi mpelekee mbele ili teku yao ishinde
Na wewe una uhakika gani kama Waziri Bashungwa ameamua tu yeye mwenyewe?
 
Kama Mwendazake kabebeshwa peke yake lawama zote na ufisadi wote wa serikali ya awamu ya 5 bila kuchambua lipi anahusika na lipi hakuhusika sasa iweje tena huyu Mama ndio iwe tofauti?
Mwendazake anasifika kwa mkono wa Chuma sasa tunataka mama nae atuongoze kwa mkono wa Chuma
 
Kama umesoma vizuri hapo juu nimeandika Wizara ya Habari na Michezo ni moja ya Wizara inayohitaji marekebisho ya Waziri, Katibu na Baraza la Michezo hawa watu toka mwanzo wanaonesha ama hawako competent ama hawajui cha kufanya ana wanafanya kwa makusudi ili Rais aonekane Zaifu. Cha ajabu ni wizara nyepesi isiyo na mikiki mikiki kama wizara ya Ardhi, Nishati au Miundombinu
Tunangojea reaction yake akikaa kimya tutamuelewa nini
 
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.

Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.

Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni zaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.

Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na mazara yake nazani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.

Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni djaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.

Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio balaza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais

Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.

Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.
Asante Ngungenge, Wasukuma hao kila wakati wanaangalia nini hakiendi sawa then wanamhusisha Rais SSH.

Kwa taarifa yenu Rais fani yake ni Public Administration aliyoisomea IDM Mzumbe kwenye Stashahada ya Juu, kamwe hawezi kufanya micro management ya kiwango hicho.

Kama mnatarajia atakuja kukosea kama Mwendazake kwenye Uongozi wa watu, Utawala bora na Utwala wa Sheria, mtasubiri sana.
 
Kwan ana degree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom