Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,863
- 3,190
Nafasi ya Rais Iheshimiwe
Kutokana na sakata la leo ambalo limepelekea mchezo wa watani wa jadi kuhairishwa naona wahafidhina wameamua kuanzisha mada dhidi ya Rais Samia na kumshambulia vikali kama sehemu ya tatizo.
Baadhi wanadiriki kusema ati Rais aliamrisha Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Mchezo bwana Bashungwa kupeleka muda mbele Mchezo ili kuruhusu Rais Samia kuhudhuria.
Wahafidhina hao wanaenda mbali na kuanza kusema Rais ni dhaifu na wanachukulia tukia hili kama Failure ya Rais.
Ndugu zangu naomba niwaambie kuwa Rais yaani Mamlaka ni kubwa Mno na endapo Rais Samia akiamua kuendesha nchi kibabe bila kumsikiliza mtu hashindwi na madhara yake nadhani tumeyaona kwa mwendazake. Tutalimia meno kama sio kutoka na damu machoni.
Ustahimilivu wa Mama Samia haimaanishi ni dhaifu ama hana maumivu wala hasira za kusema sasa ngoja aongeze kwa mkono wa Chuma.
Wenye Makosa wanajulikana Tangu awali Waziri wa Sanaa na Michezo imekuwa ajielewi kwanzia sakata la vyombo vya habari, sakata la Basata na hili la leo yaani ni sawa na kusema Wizara ya Habari na Michezo haijielewi sio Waziri, sio katibu mkuu, sio baraza la Michezo wote ni kama wako underperformance na hapa Mh. Rais anaweza kulaumiwa kwa kuwa na watumishi zaifu na ambao wameshindwa ku tune na tone yake. Dosari hii haiwezi kuchukuliwa kama dhihaka, Sarah au chuki kwa Mh. Rais
Wenye makosa wengine ni TFF ambao kwa utashi wao na wanachokijua nyuma ya pazia wamediriki kuleta taharuki hii. Nyie wenyewe ni mashahidi juu ya mwenendo mbaya wa hii TFF ambayo kimsingi inahitaji mabadiliko. Lakini hili tunawaachia watu wa mpira wap ndo waamuzi katika hili.
Sasa basi napenda kuwakumbusha wananchi wenzangu tuheshimu Mamlaka ya Rais ni kubwa mno na kwa katiba hii akiamua kuwa kama mwendazake tutalia na maisha ndo hayahaya embu tuwe na busara.