Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Nisome tena Mkuu,ndio maana nimekuquote kwenye post yako nikasema kama utajibiwa swali ulilouliza nistue.Hiyo Mahakama ya Mafisadi tangu imefunguliwa mpaka leo hatujaona utandaji wake.Basi waanze na Lowasa wanaemtuhumu kila kukicha

SORRY, HAPO NIMEKUELEWA MKUU,

TUPO PAMOJA.
 
Aliyemtuhumu Lowasa ni sisi CHADEMA kwa miaka yote. Usitake kupindisha ukweli. Unless useme ulikuwa hujazaliwa.

APELEKWE KATIKA MAHAKAMA YA MAFISADI,

MBONA TUNAISHIA KUONGEA TU NYUMA YA MONITOR. LAKINI UTNDAJI ZERO.

KUNA WATU UBONGO UMEHARIBIWA NA SUMU.
 
Watanzania wa chadema ni wanafiki sana mwaka 2008 walishangilia sana edo fisadi leo wamebadilika Amekuwa mtu Safi. Sasa niwaulize hivi huwa mnatafakari mambo ya kitaifa kwa kutumia masaburi au?
 
APELEKWE KATIKA MAHAKAMA YA MAFISADI,

MBONA TUNAISHIA KUONGEA TU NYUMA YA MONITOR. LAKINI UTNDAJI ZERO.

KUNA WATU UBONGO UMEHARIBIWA NA SUMU.
Mkuu, mwambie Kamanda Yericko Nyerere aanze kupeleka ushahidi kwenye vyombo vya Mashitaka ili kufungua mashitaka dhidi ya Mjumbe wetu wa kudumu wa Kamati Kuu ya chama. Alimtuhumu sana kwenye uzi huu kwenye link niliyokuwekea hapo chini. Siasa za bongo ndio hizo, umia ujae.
Hawa walisherekea kifo cha Mwalimu Nyerere, leo wanamtumia kuutaka urais!
 
Hili suala liliishia wapi?? Lowassa hakuwahi kukamatwa mpaka leo!
 
Back
Top Bottom