Sakata la rejesha pesa kwa hiari, kituo kinachofwata ni..

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
FB_IMG_1570042640778.jpg
 
Mbona kuna watu wana CCM kindaki ndaki hamthubutu kuwagusa? Kama Mh Andrew Chenge na Mh Anna Tibaijuka waliovuta mpunga mrefu mchana kweupe... Au kwakua wana FILE zenu pia za madudu, mnawaogopa mkiwagusa tu wataharisha kinuke, sambamba na wale wakina *NIGUSE NINUKE*.
tapatalk_1570010584767.jpeg
 
DK kadhaaa zilizopita
Wakili wa utetezi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Takukuru, Kulthum Mansoor ya kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha Sh 1.477 bilioni amedai kuwa wameandika barua kwenda kwa DPP.#MwananchiUpdates
 

Attachments

  • FB_IMG_1570024640288.jpg
    FB_IMG_1570024640288.jpg
    44.7 KB · Views: 11
POLEPOLE TUNAENDELEEA KUKUSANYA PESA ZA WALIPA KODI

MMCHANA HUUBAADA YA MH AMEKUJA MWANACHAMA MPYA KAKIRI KUTUREJESHEA PESA ZETU

MMichael WAMBURA

JE WAJUA KITUO.KINACHOFWATA?? STY TUNED

CONGS MR PRESIDENT
Rubbish!
 
Back
Top Bottom