Sakata la pesa za wizi uswiss:serikali inataka kumdanganya nani?

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
WATANZANIA INATUBIDI TUWE MACHO NA KITENDO cha serikali, eti kimeunda timu ya nguvu kushirikiana na polisi wa kimataifa kuchunguza scando ya pesa za uswiss. kumbuka ni serikali hii hii kupitia waziri mkuu Pinda, ilitamka kuwa inafanyia uchunguzi scando hii. leo hii hata kabla ya kutuambia imefikia wapi, inasema imeunda timu ya nguvu kufuatilia wizi huo. Yaani miaka hamsini baada ya kupata uhuru, serikali imeshindwa kabisaa kujua majina ya wahusika wa wizi huo?

Yaani Usalama wa taifa, Takuru kabwe na polisi wa kiimataifa wafanye timu moja kuchunguza scando nzima, nani andanganywa hapo?

Usalama wa taifa umekaa kimya katika wizi wote ulioikumba nchi hii tangia Rada, offshore foreign deposit of ona milion dolalrs,mpaka monduli leo hii watafanya nini jipya kukagua wizi wa Uswiss? Takuru ndio hao ma homeboys wa kila scando na wameshindwa kabisaa kuwapeleka sheriani mafisadi, leo watakuwa na meno gani kumata wahusika wa Uswiss scando?

Kabwe alishindwa kabisaa kutujuza nini kilitokea katika tume ya madini, leo hii atakuwa na ubavu gani kubonga hadharani kuhusu nani na njia gani pesa hizo zilipatikana?

hapo ndugu zangu watanzania tumeliwa kitapeli vibaya sana. katika hiyo tume watoe jina la kabwe na waweke jina la mtikila.
 
wole wetu watanzania tushindwe kulita kura mwaka 2015 tutajuta zaidi ya sasa tunavyo juta, ccm na serikali yake zimeoza siyo matakokuru, usalama wa ccm, jeshi na taasisi zingine na ccm kamwe hawezi kuzisafisha kwasababu ananufaika na uozo huo..
 
2015 ndiyo kiama cha Ccm unadhani huu upuuzi hadi Kiziwi kausikia,Kipofu kauona,Wasioamini wameamini.Itaponea wapi Ccm?
 
Jana niliandika humu kupinga kabisa kauli ya Werema , hana uwezo huo , kama Prime Minister alisema bungeni kuwa wanachunguza , na huyu Mr Werema anazungumzia uchunguzi upi tena ? Sasa hizi ni dharau maana huwezi kusema ni uongo , yaani ni zaidi ya uongo ! Duh ! Hata mifugo haidanganywi namna hii , nakulilia sana Tanzania !
 
Back
Top Bottom