Shida hajawahi kufanya biashara,miradi yenyewe huenda akasepa madarakani na akaiacha haijakamilika,au ikawa inajiendesha kwa hasara,sasa sijui atarudi kusema watumishi watulie mpaka biashara iwe nzuri kwanza?Inasikitisha sana...
Hiyo miradi ni ya muda mrefu mpaka ije kukamilika, kwa hiyo wataanza kuongeza mishahara baada ya miaka10...
Cc: mahondaw
BAK serikali ya jamaa yako haina kitu na inasemekana wamechapisha note mpya kwa matumizi yao we yewe.
Huyu rais wako unamuonaje bak?
Anaweza kabisa kuchapisha pesa.
Hamna kitu kichwani pale. Bure kabisa
Nani kakwambia mtumishi yuko kundi la wanyonge wewe ndugu? Hivi unajua katika watumishi wapo wanapokea Millioni 15? Ukisema unaonheza hata asilimia 10 tu unafahamu utakuwa umeongeza shilingi ngapi kwenye bajeti ya mishahara kwa mwaka? Tumieni akili wakati mwingine na si ushabiki. Hata wakiongeza asilimia tano watakuwa wameongeza mabilioni ya pesa kwenye bajeti ya mishahara. Dawa za mahospitalini mtazinunua na nini? Wakandarasi mtawalipa na nini. Dhana ya kujitegemea ni lazima wafanyakazi wavumilie maana ni saving inatakiwa tena kubwa.Jiwe sio mtetezi wa wanyonge kama anavyotaka aonekane. Ni shetani aliyejivika umalaika.
Tusubir Mei 1
Nani kakwambia mtumishi yuko kundi la wanyonge wewe ndugu? Hivi unajua katika watumishi wapo wanapokea Millioni 15? Ukisema unaonheza hata asilimia 10 tu unafahamu utakuwa umeongeza shilingi ngapi kwenye bajeti ya mishahara kwa mwaka? Tumieni akili wakati mwingine na si ushabiki. Hata wakiongeza asilimia tano watakuwa wameongeza mabilioni ya pesa kwenye bajeti ya mishahara. Dawa za mahospitalini mtazinunua na nini? Wakandarasi mtawalipa na nini. Dhana ya kujitegemea ni lazima wafanyakazi wavumilie maana ni saving inatakiwa tena kubwa.
Yaani huyu jamaa yako ni chizi haijawahi tokeaYaani ni ujinga uliopitiliza kumwambia mtumishi avumilie huku maslahi yake yakidhoofika..!
Ni Tanzania tu ndo ujinga kama huu unaweza kuvumilika..!