Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Kumkashifu mtu ni kosa kubwa. Shida kubwa inakuja huyo mlalamikaji kuithibitishia mahakama. Katika sheria mtu akitangazwa kufirisika hawezi dai wala kudaiwa. Wataalamu wa sheria, je kama mtu hashtakiwi anaweza kushtaki?
 
Tundulisu yupo sawa kwa sababu anasema kile ambacho kipo kwenye makaratasi so he think " in according to" kind of thinking ambazo wasomi nowdays wanatumia sana,simlaumu hata wanaomkamata siwalaumu pia cz naona kama wanacheza movie za kina kanumba na wala kumkamata jamaa haitasaidia chochote cz madeni ni lazima yalipwe tu hata kama mdaiwa hataki
Ukweli ni kwamba mkataba wowote ukingia na nchi za wenzetu ufe au usife jamaa wanalinda sana manufaiko yai aidha umevunjwa au bado unaendelea.So kuhusu hii ishu kuisolve siyo kumkata Tundulisu au whoever somebody try tu elaborate the issues same as the makinikia saga too.
We will pay them ht km si leo au kesho watalia wajukuu zetu mbele kwa mbele sababu kadiri siku zinavyoenda ndivyo deni linazidi kukua tu .
 
Asubuhi viboko 3 vikali na jioni viboko 3 vikali kabisa kwa siku 7..

Lissu akitoka hapo atakuwa na adabu na kujua Mh. Rais ni nani.. Lissu anatumiwa na wazungu hovyo sana hili
Kwani raisi ni Mungu? Mimi naona ni binadamu wa kawaida anaenda Choo kama wewe na atakufa na pia pale alipo yuko kwaajili ya kuwatumikia raia waliyomuweka. Nashangaa watu wengine mnamuabudu kupita kiasi. Leo Magu akikuambia vua nguo tembea uchi mji mzima kwa kumuabudu naona utafanya. Nafikiri unamuabudu kuliko hata Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu (LLB-Hons), (LLM-Winter). The Honourable Member of Parliament, President of TLS and True figher for His Nation may his patriotism be upon Him. Amen. Yaani jamaa namkubali imebidi nimtambue hata kwa kiingereza cha kuunga unga!!
Dah, patriotism mwanangu. Kuna watu wanaweza meza chupa kwa jinsi ulivyomimina juu ya mpakwa mafuta kutoka Unyiramba.

Tundu Lissu LLB, LLM ni Mheshimiwa wa kiwango cha Standard Gauge
 
Tundu Lissu (LLB-Hons), (LLM-Winter). The Honourable Member of Parliament, President of TLS and True figher for His Nation may his patriotism be upon Him. Amen. Yaani jamaa namkubali imebidi nimtambue hata kwa kiingereza cha kuunga unga!!
Dah, patriotism mwanangu. Kuna watu wanaweza meza chupa kwa jinsi ulivyomimina juu ya mpakwa mafuta kutoka Unyiramba.

Tundu Lissu LLB, LLM ni Mheshimiwa wa kiwango cha Standard Gauge
 
KATIKA NCHI WANATAKIWA.WATU KAMA HAWA ILI KUTOA CHANGAMOTO ZA MAISHA.SIO WEWE UNAKAA KAMA NG`OMBE UPO UPO TU KILA LINALOFANYWA UNAONA SAHIHI.

UNAFIKILI TUNDU LISSU ANANJAA KAMA WEWE,HATA AKICHA KUONGEA ANAKULA ADI ANAKUFA NA ANAFANYA SHUGHULI ZAKE NA KUPATA KIPATO KIKUBWA TU ZAIDI YAKO.

MTU ANA RISK MAISHA YAKE KWA MAISHA YAKO WEWE ILI KUKUFANYA UISHI KWA FURAHA KATIKA NCHI YAKO YENYE UONEVU UNAONA ANACHOFANYA NI UJINGA.


MBUZI WEE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Ni wrong reply au?
 
Hawa wa canada ni watu wanafiki sana na wanatuona labda sisi hatujui lolote kuhusu sheria na wanadanganywa na huyu jamaa wa KINDAI. Kwanza hiyo ndege wanayodai kuishikilia bado haijawa mali ya serikali kwani ni mpaka watukabidhi. Sasa hiyo kampuni ya ndege inatakiwa itekeleze masharti ya mkataba kwa kutukabidhi kwanza na hata litakuja suala la mtu anayetudai akamate mali ambayo kisheria ni ya Tanzania, hii ndege bado ni mali ya kiwanda na si ya Tanzania, kusema kuwa unaishikilia ndege yetu ni kujaribu kututisha ili tuachie makanikia,!!! hakiachiwi kitu hapa... Hao vibaraka wao watawalia fedha halafu mwisho wa siku watawaacha.
Ahsante mtaalam wa procurement kwa upande wa aviation kwa kutuhabarisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hili la huyu nzi hii seri?kali inaelekea kutuchosha,, wanashindwa nini kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya ta..ifa? hima awe exterminated mapema kabla wajinga hawajaanza kumuamini na kupata wafuasi
 
Tundulisu yupo sawa kwa sababu anasema kile ambacho kipo kwenye makaratasi so he think " in according to" kind of thinking ambazo wasomi nowdays wanatumia sana,simlaumu hata wanaomkamata siwalaumu pia cz naona kama wanacheza movie za kina kanumba na wala kumkamata jamaa haitasaidia chochote cz madeni ni lazima yalipwe tu hata kama mdaiwa hataki
Ukweli ni kwamba mkataba wowote ukingia na nchi za wenzetu ufe au usife jamaa wanalinda sana manufaiko yai aidha umevunjwa au bado unaendelea.So kuhusu hii ishu kuisolve siyo kumkata Tundulisu au whoever somebody try tu elaborate the issues same as the makinikia saga too.
We will pay them ht km si leo au kesho watalia wajukuu zetu mbele kwa mbele sababu kadiri siku zinavyoenda ndivyo deni linazidi kukua tu .
Mmebaki kulia lia mtandaoni na Kiingereza feki. Nilitegemea na maneno yenu yoote ya kijasiri hivi sasa mpo mitaani lakini wapi.
 
T
View attachment 572420
Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa anatoka mahakamani Kisutu .

Wamesema wamemkamata kwa ajili ya mahojiano.

"Tumetoka Mahakama ya Kisutu muda huu ambapo Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi (uchochezi one) lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili Yericko Nyerere hapa hapa Kisutu.

Wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likawa blocked na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police.

Wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Police". Amesema Makene.

Stay tuned..

======

UPDATES; 1740hrs

Lissu alikamatwa mida ya 1330hrs, lakini Mpaka Sasa bado Lissu anashikiliwa na Polisi Katika kituo kikuu cha kati na mawakili waliopo bado hawajajibiwa kama atapata dhamana ama laaa. ....tutawajuza kadiri ya taarifa zinavyokuja.

UPDATES; 1745hrs

Mwanasheria mkuu wa Chama Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kosa la kutaja makosa ya rais hadharani na uchochezi kuhusu ndege aina ya bombardier Q400. (Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania)

UPDATE; 2000hrs

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amehojiwa kwa tuhuma za kufanya makosa mawili;

1. Kumkashifu rais.

2. Uchochezi kuhusu kuzuiliwa na kushikiliwa kwa ndege ya serikali ya bombardier.

Makosa hayo yanadaiwa kufanywa kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ijumaa iliyopita, Agosti 18, mwaka huu.

Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, amekataa kutoa maelezo yoyote polisi, akitumia haki yake ya kisheria kuwa mtuhumiwa ana haki, kisheria, kutaja jina na anuani yake tu anapokuwa anashikiliwa na polisi hadi atakapopelekwa mahakamani ambako ndiko atataoa maelezo kujibu mashtaka anayotuhumiwa nayo.

Lissu ambaye ameendelea kuwa imara akiwa tayari kujibu mashtaka yake mahakamani, akiwa polisi amepata msaada wa kisheria kutoka kwa Wakili Faraji Mangula, ambaye pia anashughulikia uwezekano wa mteja wake kupata dhamana kwa mujibu wa sheria.

Chama kimeshatoa maelekezo kwa wanasheria wa chama kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi za kisheria iwapo Jeshi la Polisi halitampeleka mbele ya mahakama Lissu ndani ya muda unaoagizwa na sheria za nchi yetu.

Aidha, chama kinaendelea kusisitiza kuwa serikali bado inao wajibu wa kujibu hoja za msingi zilizotolewa na Chama kupitia tamko lililosomwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama Lissu kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusu kushikiliwa kwa ndege ya Tanzania huko nchini Canada kwa sababu ya deni tunalodaiwa kama nchi la shilingi bil. 87.

Tunaikumbusha serikali kuwa mojawapo ya hoja zilizotolewa na chama katika tamko hilo ni pamoja na;

1. Kwanini Serikali, kupitia kwa Waziri wa Ujenzi wa wakati huo, John Magufuli ilivunja mkataba wa Kampuni ya Stirling Civil Engeering Ltd? Kitendo ambacho kimesababisha nchi yetu kuingizwa hasara kwa kudaiwa mabilioni ya shilingi.

2. Kwanini deni la Stirling Civil Engeering Ltd halikulipwa mara baada ya mahakama ya usuluhishi kutoa tuzo ya dola za Marekani mil. 25, kitendo ambacho kimesababisha deni hilo sasa kufikia dola mil. 38.711?

3. Wananchi wanataka kujua katika kashfa hiyo ambayo ni dhahiri inalitia doa na aibu kubwa taifa letu kuwa halizingatii sheria na taratibu katika uendeshaji wa masuala yake, NANI atawajibika kijinai kwa kulisababishia taifa letu hasara ya bilioni 87?

4. Je serikali hii ya CCM ambayo imekuwa ikijigamba kuwa inao uwezo wa kutumbua majipu, je itaweza kutumbua hilo?

Leo ikiwa ni siku ya tano tangu CHADEMA kilipotoa hadharani tamko hilo kuhusu kashfa hiyo ya kuzuiliwa kwa ndege hiyo ya Bombardier huko Canada, Serikali haijajibu hoja zilizotajwa hapo juu kwa ukamilifu wake. Ni vyema serikali ikatoa hadharani na majibu yenye hoja badala ya kutaka kupindisha kwa kumkamata na kumshtaki Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu ambaye alisoma tamko hilo mbele ya viongozi wakuu wa chama kwa niaba ya wanaCHADEMA nchi nzima.

Makene
Ndio maana mlijificha ili muone upepo unaendaje ndio mje mjitokeze kuwa press ni za Chama chenu. Mbona hamkuzungumzia judgement ya jan17.17 pale uganda? Tumeshawajua ninyi ni maadui wakubwa wa uchumi wa taifa hili.
 
Tutambue kua hivi sasa Mh Lissu ana influence kubwa sana kwenye jamii kuliko hata huko nyuma, Ikumbukwe kua huyu Mh ni Rais wa Chama cha watetezi wa haki za wasiokua na haki nchini, ulimwengu wa sasa unamheshimu sana wwanasheria kutokana na asili ya kazi zao. Hapa simzungumzii Lissu tu, bali ni wanachama wenzake ambao ulimwengu ukisikia wanalia na kuonewa kwa Raiswao inaweza kutuchafulia taswira ya taifa letu, hii inaweza kusomeka kua nchini Tanzania hakuna Uhuru wa kusema au kujieleza.

Hivi sasa Mh Lissu ana kundi la Wanasheria nyuma yake,ana kundi la wanaharakati nyuma yake, ana kundi la vijana wengi ambao kimsingi ndio taifa la kesho nyuma yake, Mh Lissu pia ni Mwanasheria mkuu wa Chama. Hivyo kuhangaika nae ni sawa na kuhangaika na makundi yote haya yote.

Je,kuna uonevu wowote kwa Lissu kila anapokamatwa?
Naan, hili linadhihirishwa na ushindi wa kesi zake kila anapokamatwa na kupelekwa Mahakamani. Mkosaji siku zote hukutwa na hatia juu ya kosa alilofanya na hufuatiwa na adhabu baada ya hukumu. Sasa najiuliza, mbona humu juu ya Lissu hasa kwa makosa ya uchozi hua ni yeye kushindwa tu? Je, ni uonevu pekee ndio hufanyika kwake?

Urahisi wa kumaliza jambo hili ilitakiwa serikali impuuzie,iendelee na "hapa kazi tu"maana umma utaamua wenyewe kua lissu anaonewa au serikali inaonewa.Haya mambo ya kusukumana na Lissu kunakomaza na kutengeneza wanaharakati wengine nyuma.
 
Wewe hata ukijifanya mkuu wa Magereza. Ndugu mtamsahau atarudi akiwa babu weupe wa kinyaturu utakuwa umepotea. Hawezi kuwa anashambulia kila mtu, alimtukana raisi, akakashfu makasisi wa kukatoliki na viongozi wengine serikali inamuangalia tu. Kwani yeye kasoma vitabu tofauti na wengine vya sheria. Na vimuokoe sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi mbona ni mtu mwenye matusi makubwa anatukana watoto anatukana makasisi anatukana askari wanajeshi wanawake wananchi wa kawaida wafanyakazi huwezi kugeuza ukweli kwa kuambiwa aliyesababisha nchi ikadharilishwa kwa propaganda za upuuzi wakati Magufuli anatukana matusi makubwa hata kwa watu waliofiwa na kufikwa na majanga kama tetemeko, kuunguliwa nyumba kuvunjiwa nyumba na mafuriko ni raisi mwenye mfano mbovu kwa jamii asitumie vyombo vyetu kugawa nchi vipande kwa ukabila na ukanda makonda anatukana watu wazima wazee mpaka anajifanananisha na Mungu mbona hajamkamata Gambo anatukana kila mtu mbona hajamkamata haya mambo ya ubaguzi wa kikabila kidini na kisiasa yatakuja kumtokea puani akiyaendeleza
 
Back
Top Bottom