Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

Ohoooo.... yamekua haya tena?
Kosa lake ni lipi ?

Huo mkamato itakua ni order
3f887fa1c8cd6c104b4e8b5d2fd40627.jpg
 
Serikali ya ccm haitaki kukosolewa wakati inakosea na uzuri hizo mbwembwe tu hawawezi kufanya lolote Lissu is absolutely Genius.
Akikamatwa TL bei za vitu zitashuka, mazao yatapanda bei na madeni yatalipwa ili bombadier ziletwe!!
Kizunguzungu!!
 
Lissu asifunguliwe mashtaka ya uchochezi bali aukwe kizuizini kwa uhaini maana kuna harufu kali nyuma ya maneno yake ya kiusaliti kwa nchi yake.
 
Usmart wake ni upi?unafikir upuuz anaoleta lisu putin au kp angemchekea na kuaangaika naye mahakaman?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Upumbavu ni furaha kwake aliyepungukiwa na akili. Bali mwenye Ufahamu huunyosha mwenendo wake. unatukuza kazi za shetani anazofanya kupitia mikono ya putin na kp. ila tambua kuwa UOVU HAUWEZI KUMUOKOA ALIYEUZOEA
 
Lissu amepulizia sumu kwenye pango la panya, panya wote wametoka nje kwa namna tofauti tofauti kila mmoja kwa kulinda usalama wa afya yake.
#Lissu_The_Great
 
Wasouth walikuwa wanaevidence zilizowazi na hawakushirikiana na their colonial masters dhidi ya hiyo case unayoisema wewe. Kwa Lissu na Kabwe Ni tofauti wameshirikiana na wasioipenda nchi hii kuzuia Mali ya watanzania isije nchini kwa masuala yao ya kisiasa . Huoni hawa watu inabidi waondolewe katika uso wa nchi hii. Leo wameshirikiana na wazungu kwa hili next time watashirikiana nao kwa lipi . Inachukiza sana .
TUWEKEE USHAHIDI NI NAMNA GANI LISU AMESHIRIKIANA NA HAO WAZUNGU YEYE HUWA ANAKUJA NA EVIDENCE SIYO POROJO KAMA HIZI.
 
This is Kagame's style of Ruling!
Huu sasa ni uhuni,ushenzi na ujinga ambao hauna tija yoyote kwa nchi hii!!!Hivi Rais Magufuli anafurahia nini anapoona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila siku na kupelekwa Central, Mahabusu na Mahakamani? This is becoming too much now!! Iko siku watu uzalendo watauweka pembeni na kitakachotokea ni Mungu anajua!!!
Ni Rais wa ajabu kutokea duniani, kwamba anakwepa au hatakai kusafiri kwenda nje kwenye mikutano ya Kimataifa na yenye tija kwa nchi abadala yake anang'angania kukaa Ikulu kufuatilia Wapinzani wanafanya nini....!!!
Huu siyo Uraisi baali ni Uchizi wa aina......!!
 
Back
Top Bottom