Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 411
Swadakta!! upofu wa kufumbia ufisadi ni ufisadi. Ndio maana hiyo habari hata kama ilikuwa ni ya miaka 100 iliyopita ni valid kuja sasa haijalishi kama itamvurugia mtu mambo yake au laa. Suala kuwa limeshajadiliwa humu haiwi immunity ya kufanya lisijadiliwe tena as long as wachangiaji wapo ndio uhuru wa kujieleza wenyewe huo.
Nani fisadi kati ya Nape na baba yake its up 2 u 2 figure out, do ur home work mate...
upofu wa mtu kujifanya haoni hujuma inayofanywa kumchafua mtu kwa misingi ya baba yake ni ufisadi kuliko.
homework nimefanya na jibu ninalo. naamini na wewe umefanya yako na ndio maana umeishia kujifanya kipofu.