Sakata la mwanakwaya aliyeuawa guest, ndugu waendelea kutumiwa meseji za vitisho na muuaji

Tukumbushane tu amri za Mungu kisha tukumbuke yale Mungu aliyotuambia ya kuwa dhambi zote ni sawa.Marehemu alienda kwenye ngono ni sawa na jambazi aliyeuawa kwenye uhalifu.Tunafananisha hayo kupitia imani.
Ni sawa kwako wewe na imani yako. Kwa wengine jambazi anafungwa 30yrs wakati hamna adhabu yoyote kwa anaefanya ngono.
 
Kwaya za AICT zimepoteza ushuhuda, ulevi na uzinzi ni sifa mbadala za wanakwaya wa AICT

CVC kuna mtoto wa bishop anaimbia humo but huyo dada ni Mlevi na mzinzi wa mwendo kasi!!

Sijui nani atafuata baada ya Mariam maana fujo za kuibiana mademu hadi kugegedana kiusaliti ni sifa kwa wanakwaya wa AICT

Ndoa zimekuwa mitego ya shetani kwa wasichana. Ipo haja ya kutizama upya uendeshaji wa haya makanisa ya kiroho
 
Mkuu unavyoongea ni as if kufanya ngono ni kama ujambazi fulani hivi kumbe ni biological need. Its just sex hizi habari za kuifanya halali kwa kuwa umeoa/kuolewa au kuifanya haramu kwa kuwa hujaoa/kuolewa ni imani tu bottom line its just sex. Kwwahio kufia guest hakumfanyi awe ni shetani kwa familia yake.
Huniangushi hata siku moja kwenye kujenga hoja
 
Uingie guest na mwanaume wa kitanzania na msifanye ngono hahaha labda awe na kichaa...

Huyo mwana kwaya amevuna alichopanda na lazima ende motoni kama kweli kuna motoni...na Mama yako ni mmoja ya wamama wapumbavu...
Huku ntuzu kumsalimia msichana barabarani kinatosha kukutoa roho. Eti ninti kaenda kwa mchumbake analala huko huko yaani kipondo kinaanzia kwa mamake kwanza
 
Kwaya za AICT zimepoteza ushuhuda, ulevi na uzinzi ni sifa mbadala za wanakwaya wa AICT

CVC kuna mtoto wa bishop anaimbia humo but huyo dada ni Mlevi na mzinzi wa mwendo kasi!!

Sijui nani atafuata baada ya Mariam maana fujo za kuibiana mademu hadi kugegedana kiusaliti ni sifa kwa wanakwaya wa AICT
Usiniambie!

Pazia, Usiku wa Manane, Mpinga Kristo album bora kabisa kutoka kwa hao jamaa. Mimi ni shabiki wao mkubwa japo sio AICT!

Ushuhuda wa hovyo kabisa huu! Sidhani kama nitapata morali ya kununua album yao nyingine watakayotoa.
 
Sometime wanaume bhana ni shiida tupu!

Kama Umekwazana na mwenzio its better leaving her along and life goes on

Select another partner to overcome the gap..

Matukio kama haya huwa yanajionyesha wazi kuwa huyo mwanaume ni mlevi wa Mapenzi(Kajifunzia ukubwan, hakupitia changamoto b4 hajawa na huyo mwenza)

Ukiwa na experience na love mtu akizinguwa piga chini maisha yaendelee uwe huru na maisha yako.

Mimi nishapiga chini Wanaume 7 kwa sababu mbali mbali.
Eg. Poor taking cares, Insufficient performance on bed.

Aya sasa kamuua halafu hana uhuru tena ni Msongo wa Mawazo mwanzo mwisho huku Jehanam ikimsubiri.
Aaarghhh....
 
Ni malezi ya hovyo tu. Ingekuwa bariadi asingethubutu, mzee arudi home binti hayupo kaenda kwa mchumbake mtapigwa nyumba nzima akiwemo mamake
 
ndiyo maana wale wasichana wanaosema hapana ngono mpaka ndoa nawapa salute na wanafanya miili yao iwe na dhamani sana, na mara nyingi wakiwa wake(wives) hawana tamaa ya kuchepuka. Inasikitisha mtu wa kanisa anamfanyia hukumu ya kifo mwenzake tena guest house. Kuna askofu wa kanisa fulani alimwiba mke wa mtu kuwa mke wake wa tatu sasa hii ni hatari
 
Si nimesoma kwenye ukurasa wa mwananchi huyu jamaa ameshadakwa leo.
Inasemekana alionekana akibabaa katika eneo la kanisani kwao wakamdaka.
 
Hayo ni matokeo ya kuwa na dini bila wokovu. Maongezi ya wachumba hufanyika kwa pastor au kwa mzee wa kanisa Tena kwa uangalizi maalum. Tofauti na hivyo ni uzinzi mtupu Wala haukuwa uchumba huo. Wanakwaya mjitathimini maana wengi wenu mmesababisha JIna la Yesu kutukanwa.
 
Hahahaha eti mpole mnyenyekevu hana ugomvi na mtu as if ni kweli....yani mtu amefia guest akiwa anafanya ngono kabla ya kuuwawa halafu una mpamba as if alikuwa malaika wakati ushahidi wa wazi unaonesha alikuwa akifanya ngono baada kutoka huko kwayani hahaha...aisee haya mambo ya kwaya haya...

Nina uhakika amwuwawa kwa sababu ya usaliti na wala si kwa sababu ya unyenyekevu...

Hilo ni hitaji la mwili kama kuvuta na kupuliza pumzi
 
Hahahaha eti mpole mnyenyekevu hana ugomvi na mtu as if ni kweli....yani mtu amefia guest akiwa anafanya ngono kabla ya kuuwawa halafu una mpamba as if alikuwa malaika wakati ushahidi wa wazi unaonesha alikuwa akifanya ngono baada kutoka huko kwayani hahaha...aisee haya mambo ya kwaya haya...

Nina uhakika amwuwawa kwa sababu ya usaliti na wala si kwa sababu ya unyenyekevu...
yani nilipoona mjezi wa wa kijani na njano tu nikajuwa jitu kama hilki haliweze kuchangia swala hili kwa busala...
 
Back
Top Bottom